MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Duh! Sasa mama mtu mzima kabisa huyo na watoto pengine anao hiyo bikra inatoka wapi mkuu..Atamtangaza tu. Vinginevyo ni kumtoa bikira tu, hakuna namna.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Sasa mama mtu mzima kabisa huyo na watoto pengine anao hiyo bikra inatoka wapi mkuu..Atamtangaza tu. Vinginevyo ni kumtoa bikira tu, hakuna namna.
Tutamkeketa km hajuiSina imani kabisa na huyo mama kabisa, na hata matokeo yakitokea mgombea wa Cdm kashinda hatamtangaza.
"B"Atamtangaza tu. Vinginevyo ni kumtoa bikira tu, hakuna namna.
ChatoMnyika anagombea jimbo gani?msaada please!
Kule uchaguzi ni gelesha kwani mkurugenziccm anayo matokeo tayari nasubiria mda amtaje mshindi toka CCM, hakuna haja ya kufanya uchaguzi chato kwani matokeo wanayo mifukoniChato
Umeandika pumba gani hii au kiswahili kinakupa tabu?Alisema agombee mwaka huu anapumzika
Mama alitaka kuchomoa betri mapema. Lori la mafuta lingewakaHuyu mama hawezi tenda haki kwani kuna uwezekano sasa akaja na Plan B.
Kaizaa, yanetimia maneno ya mheshimiwa kuwa utaitolea tundu lolote la mwiliThis time mambo ni tofauti kabisa na 2015...
Alisema form ni moja tuu..hii ya pili kaitoa wapi sasa....!!!
Mkuu me sio mtu wa siasa Sana ila mama amesha chomoa battery vikwazo mama amesha vibariki!Mama alitaka kuchomoa betri mapema. Lori la mafuta lingewaka
LISSUFOBIA DIZIZ😂😂😂😂Ndiyo tushangae wote
Si linafanyaa mambo kama tahiraa bila kufikiriii...!!Hivi yule Mama ana watoto kweli?
Roho mbaya inamsaidia nini?
Mnyika anagombea jimbo gani?msaada please!
Mnyika anagombea jimbo gani?msaada please!
Huyu mama hawezi tenda haki kwani kuna uwezekano sasa akaja na Plan B.
Sasa ivi ataf*rw hatutaki ujinga.... na tumejipanga. Haiwezekani wajinga wachache wanaopokea maelekezo bila kuyachakata watuharibie nchi.Huyu mama hawezi tenda haki kwani kuna uwezekano sasa akaja na Plan B.
Lissu kaja na slogan ambayo nimeipenda. Hakuna kumwachia Mungu safari hii, ukipigwa Kofi upande wa kushoto nawe mlambe huyo aliyekuchapa la kushoto na kulia.Na bado...watabana lakini wataachia tu. Safari hii ushamba na ulimbukeni, tupa kuleee!