Hivi hawa wagombea wanachukua fomu bila utambulisho toka kwenye vyama vyao?!Sina imani kabisa na huyo mama kabisa, na hata matokeo yakitokea mgombea wa Cdm kashinda hatamtangaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hawa wagombea wanachukua fomu bila utambulisho toka kwenye vyama vyao?!Sina imani kabisa na huyo mama kabisa, na hata matokeo yakitokea mgombea wa Cdm kashinda hatamtangaza.
Na lingemwangukia kweli.Kabana wee kaona mwisho litamwangukia. Pumbavu
Mna mbinu za kizee kweli ninyi chama chakavuKwa hiyo mnachukua nchi?
Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge halali kwa tiketi ya Chadema.
Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Mzuri ni mzuri wakati wote hata ungekuwa under pressure. Mtu yeyote double minded hawezi kuwa mzuri.Yule mama maskini sijui aliingiwa na mapepo gani. Huenda ni mtu mzuri tu lakini shinikizo na njaa ndio mtihani.
Tunataka atuambie alipomwita OCD alimnong'oneza niniYule mama maskini sijui aliingiwa na mapepo gani. Huenda ni mtu mzuri tu lakini shinikizo na njaa ndio mtihani.
OCD atakuwa alimgomea kuwabambikia kesi chadema kwani lengo la mama shetani ilikuwa ni kuwakomoa chademaTunataka atuambie alipomwita OCD alimnong'oneza nini
.....Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Alikuwa anataka kuwatisha tu ili wasionge akazuga tu. Alijua watamwogopa.Tunataka atuambie alipomwita OCD alimnong'oneza nini
Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge halali kwa tiketi ya Chadema.
Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Vyombo vya dola vimeshasoma alama za nyakati hivi hamjaona tu.OCD atakuwa alimgomea kuwabambikia kesi chadema kwani lengo la mama shetani ilikuwa ni kuwakomoa chadema
Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge halali kwa tiketi ya Chadema.
Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Chadema media wanafeli sanaa sanaaa sanaaaJmn Leo mbona clip za lissu hamna kulikoni
Atamtangaza tu. Vinginevyo ni kumtoa bikira tu, hakuna namna.Sina imani kabisa na huyo mama kabisa, na hata matokeo yakitokea mgombea wa Cdm kashinda hatamtangaza.
Mwanamke mpuuzi sana yuleMambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge halali kwa tiketi ya Chadema.
Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Kweli kabisaChadema media wanafeli sanaa sanaaa sanaaa
Yes.Ernest ndiyo aliyekuwa amekaa kulia kwa mkurugenzi?
Asilimia kubwa wako hivyo ndiyo maana tunataka kukipumzisha hiki chama chakavu kimeshakata pumziSikujuwa kama kuna watu wajinga kiasi hicho huko ccm