Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Hakika Kuna mashetwan watu na majin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mama alijikita kusema eti sheria , kanuni na taratibu za NEC zinaruhusu fomu moja tu. Na kwamba chadema waitafute hiyo fomu irudi ndio watapewa nyingine. Upuuzi mtupu.This time mambo ni tofauti kabisa na 2015...
Alisema form ni moja tuu..hii ya pili kaitoa wapi sasa....!!!
NDio waligushi barua. Sasa aliyeandika anasema tuoneshe hiyo barua ya utambulisho tu we ubaki nayo. Anakataa...mama mkurugenzi alikuwa ameficha hiyo fomu.
..na angetoa barua ya utambulisho aliyodai imetoka cdm angeingia kwenye tatizo la kugushi.
Atakuja sema fomu ya CDM isharejeshwa tayari hawezi pokea fomu 2. 😎😎😎Huyu mama hawezi tenda haki kwani kuna uwezekano akaja na Plan B.
Yule mama maskini sijui aliingiwa na mapepo gani. Huenda ni mtu mzuri tu lakini shinikizo na njaa ndio mtihani.Hakika Kuna mashetwan watu na majin
Mgombea yule wa CCM Mpya akamatwe siku akirejesha fomu aliyotapeli kuipata.Hilo mbona suala rahisi sana?Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia na kutoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema. Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Inawezekana. Na muda utakuwa umeshaisha. Lakini kama kakubali kutoa ya pili it is her faulty kwamba ametoa fomu nyingine kwa wahuni anaowajua yeye. Kizuri ni kuwa kila kitu kiko wazi.Atakuja sema fomu ya CDM isharejeshwa tayari hawezi pokea fomu 2. 😎😎😎
Simple and clearMgombea yule wa ccm mpya
Mgombea yule wa CCM Mpya akamatwe siku akirejesha fomu aliyotapeli kuipata.Hilo mbona suala rahisi sana?
Waliomtuma ndio waliompa.This time mambo ni tofauti kabisa na 2015...
Alisema form ni moja tuu..hii ya pili kaitoa wapi sasa....!!!
Yule mama alijikita kusema eti sheria , kanuni na taratibu za NEC zinaruhusu fomu moja tu. Na kwamba chadema waitafute hiyo fomu irudi ndio watapewa nyingine. Upuuzi mtupu.
Kuna mwanasheria uchwara kwenye ile ofisi alikuwa ana mmislead Mkurugenzi.
Kifupi walitaka Chadema waende polisi ili wapoteze muda huko. Ukweli ulikuwa wazi.
Huoni mgombea halali kapewa form...sisi ndio propeller halionekani lakini mashine inasoma kmMchana jr .Hebu uwe unaingia kidizain zako ili utujuze ya ndan.salute kwako mkuuu
Alijuwa sawa na ya mwenyekiti wakeThis time mambo ni tofauti kabisa na 2015...
Alisema form ni moja tuu..hii ya pili kaitoa wapi sasa....!!!
Ameshituka itadaiwa mahakamani akainya..mama mkurugenzi alikuwa ameficha hiyo fomu.
..na angetoa barua ya utambulisho aliyodai imetoka cdm angeingia kwenye tatizo la kugushi.
Chama kina miaka 60 kinafanya siasa za kihuni aibuPicha ya huyo mama jamani, na Familia yake if possible, tuwachore.
Kijinga kabisa mkuu sio kiuni za kitahiraChama kina miaka 60 kinafanya siasa za kihuni aibu
Labda anataka kurudi chuoni ili amalizie masomo yake.Mnyika anagombea jimbo gani?msaada please!
Na bado...watabana lakini wataachia tu. Safari hii ushamba na ulimbukeni, tupa kuleee!