Uchaguzi 2020 Hatimaye Mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia, atoa fomu kwa mgombea Ubunge halali wa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Hatimaye Mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia, atoa fomu kwa mgombea Ubunge halali wa CHADEMA

Mnyika alizisoma alama za nyakati mapema sana, alijua kabisa Kibamba hachomoi, sio kwa sababu CCM inapendwa sana, lakini kumekuwa na ubaguzi wa jinsi maendeleo yanavyoletwa majimboni. Watu wanaona wairudishe CCM ili mambo yaende.

Kongwa n majimbo mengine chini y ccm vp maendeleo?
 
Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge halali kwa tiketi ya Chadema.

Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.

AMEEEEEEN,Nimefurahi sana
 
Huyu mama ndiye achuliwe hatua. Wa hovyo kupitiliza uwezo wa makalio
 
Huyu mama tungekuwa na tume huru hakupaswa kubaki kuwa msimamizi wa uchaguzi, alifanya uzembe mkubwa sana, unampaje fomu MTU asiye na anuani?
 
Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba kilikuwa moto hatimaye akatoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge halali kwa tiketi ya Chadema.

Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.

Usumbufu tumechoka watu wa aina hiyo ni kuwauwa tu. Apigwe risasi tena hapohapo ili wengine wajue hatutaki utani.
 
Mungu ni mwema sana. Kuna mbinu za uhujum lakini sio zile za kipuuzi alizokuwa anaongea yule mama.

Namna hii ndivyo tutashinda majimbo mengi tu.

Persistence, detrrmination and consistence.

Au ile barua ya jana ya Robert Amsterdam imemshtua???
Kuna kipengele kwenue ile barua kinasema" maofisa wa NEC watachukuliwa hatua na kutumwa kwa wapelelezi wa kimataifa( UN special investigation reporters) kuchunguza kinachofanywa na NEC kama itavunja sheria za nchi, kikanda na kimataifa ktk kusimamia haki za uchaguzi" mwisho wa kunukuru.

Ahhhhh. Sasa mkuuu jitihada Zote kwa Mfano unadhani tutazilipaje? Au bado unaamini kwenye Love at first sight.
 
Ahhhhh. Sasa mkuuu jitihada Zote kwa Mfano unadhani tutazilipaje? Au bado unaamini kwenye Love at first sight.
Wale ni wapenzi wa Demokrasia na ni kampuni ya kimataifa inatambulika. Imefanya kazi zake kwenye mazingira magumu sana ina uzoefu wa kusimamia kesi ngumu hadi seheu zenye udikiteta uliokomaa kama Venezuela, Russia, Turky. Kote huko kazi yao ni moja tu. Kutetea haki.
 
Mbona alitoa ya kumnyang'anya Boniface umeya na hamna lililompata? Sana sana alikingiwa kifua na Waziri Mdogo wa Tamisemi.

Amandla...
Aliomba radhi pia Jacob kamalizia umayor wake na posho na pension usikalili huyo mama nichizi
 
Magufuli punguza uoga , hii ndo chadema baba lao
Ni heri washikaji wake wamkumbushe kuwa sumu haionjwi na ikiwezekana hata kujitoa ajitoe kabisa! Kina ni kirefu aangalia asije akazama...huu ni ushauri tu!
 
This time mambo ni tofauti kabisa na 2015...
Alisema form ni moja tuu..hii ya pili kaitoa wapi sasa....!!!
Usimlishe maneno. Alisema 'rudisheni kwanza iliyochukuwa mwanzo' ili ampe form mgombea halali wa CDM.
 
Back
Top Bottom