Mungu ni mwema sana. Kuna mbinu za uhujum lakini sio zile za kipuuzi alizokuwa anaongea yule mama.
Namna hii ndivyo tutashinda majimbo mengi tu.
Persistence, detrrmination and consistence.
Au ile barua ya jana ya Robert Amsterdam imemshtua???
Kuna kipengele kwenue ile barua kinasema" maofisa wa NEC watachukuliwa hatua na kutumwa kwa wapelelezi wa kimataifa( UN special investigation reporters) kuchunguza kinachofanywa na NEC kama itavunja sheria za nchi, kikanda na kimataifa ktk kusimamia haki za uchaguzi" mwisho wa kunukuru.