Lissuphobia did it,Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia na kutoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema. Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwa nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Hagombei,ametingwa na majukumu ya ukatibu mkuuMnyika anagombea jimbo gani?msaada please!
HagombeiMnyika anagombea jimbo gani?msaada please!
Mnyika anagombea jimbo gani?msaada please!
Ndiyo tushangae woteThis time mambo ni tofauti kabisa na 2015...
Alisema form ni moja tuu..hii ya pili kaitoa wapi sasa....!!!
Ernest ndiyo aliyekuwa amekaa kulia kwa mkurugenzi?Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia na kutoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema. Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwa nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Hawezi chukuliwa hatua zozote kwasababj form za awali wanazowenyewe.Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia na kutoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema. Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Alafu wanajinasibu kupendwa sana na jamii kuhusu mambo mazuri waliofanya.CCM huwa wanahangaika sana ikifika kipindi chanichaguzi...... usanii usanii mwingiiii
Yaani ingekuwa ni taifa la mfano basi ingekuwa Nigeria ama China.
Mungu ni mwema sana. Kuna mbinu za uhujum lakini sio zile za kipuuzi alizokuwa anaongea yule mama.Mambo yalikuwa moto, kila alichopapasa yule mama mwenye roho mbaya mkurugenzi wa uchaguzi Jimbo la Kibamba ameachia na kutoa fomu kwa Bw. Ernest Mgawe, mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema. Bado haijulikani yule fake atachukuliwa hatua gani kwani nchi hii wana CCM wako juu ya sheria.
Stage ya kwanza wameshindwa hata ya pili watashindwa tu. Kibamba sio watoto.Sina imani kabisa na huyo mama kabisa, na hata matokeo yakitokea mgombea wa Cdm kashinda hatamtangaza.