Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
am sorry yna2 , samahani sana mamii.Acha kutusimanga
[emoji28]Kwanini anakaa uchi? Mtafutieni kitenge ajistiri.
yah, huyo demirose amewekeza sana ktk huo mwili sio kazi rahisi kwa mwanamke wa kibongo kuwa hivyo.Wanakula sana dada zetu[emoji23][emoji23]
mgharamikie wako surgery mbona anakuwa Hivyo na zaidimfupa unauona na nyama unaiona! siyo wanawake wa bongo minyama uzembe kila mahali.
hiyo ndiyo english figure.mgharamikie wako surgery mbona anakuwa Hivyo na zaidi
yah, huyo demirose amewekeza sana ktk huo mwili sio kazi rahisi kwa mwanamke wa kibongo kuwa hivyo.
mnatushusha sana wakina Dada wa kiafrica jamanihiyo ndiyo english figure.
kuhusu mama yeyoo ni mzuri hatari... mwembamba, mrefu alafu melanin mpaka fizi.
nb: samahani nliongea vibaya kusema "minyama uzembe" nimeomba radhi hata kwa yna2
mnatushusha sana wakina Dada wa kiafrica jamani
mie mwenyewe Huyo kanizidi labda unene tu
Nunua gari kwangu utaniona liveTuma picha
Nunua gari kwangu utaniona live
Sina jingineGari ipo sema lingine, njo dm
Sina jingine
Nakutana na wanaofanya biashara.