Hatimaye mrembo wa kimataifa, Demirose awasili Tanzania

mnatushusha sana wakina Dada wa kiafrica jamani

mie mwenyewe Huyo kanizidi labda unene tu
wanawake wa kiafrica ni wazuri zaidi kiasili kuliko hao macaucasian... tunawapenda hivyo mlivyo 😍.
hao weupe tunawashangaa tu lkn hamna kitu.
 
Hatuna sheria za uvaaji huko porini?
Siku mtu akipiga uchi kabisa itakuwaje au sisi shida yetu pesa na promo tu?
 
Hongera sana Dr HK kwa juhudi zako za kuitangaza TZ unforgetable! Kuna model anajiita kim kardashian"Joselyncano" ana followers 13m amekata kamba alipokuwa anajaribu upasuaji wa "MSAMBWANDA".
 
Is she a liability or asset?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…