Hatimaye msela Sonko akabidhiwa mji wa Nairobi

Sonko namkubali. Ila yule wa Mombasa mmmhh sina neno.
The real brain behind it all is Polycarp Igathe ,that's the one who's gonna have the vision ,the strategy and the technocratic background to change Nairobi.Sonko is more of a showman and a mere power projector.
 
The real brain behind it all is Polycarp Igathe ,that's the one who's gonna have the vision ,the strategy and the technocratic background to change Nairobi.Sonko is more of a showman and the power projector.
yeah..no wonder Igathe was announced as his running mate...the middle class do not trust Sonko...they see him as this uneducated crazy PR guy...infact, i heard the president wanted Kenneth instead of Sonko during the primaries.
 
Kama nahisi 2022 patachimbika kati ya Ruto na Sonko kwenye urais.
 
Haya ndo majibu ya kueleweka. Hongera brother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wewe ndio ingekuja kusoma elimu bure Tanzania wenzenu tumeanza tokea 2015.

MCA wa Kenya na diwani wa Tanzania hawana tofauti. Kazi ya diwani ni kujadili matatiza ya eneo husika, kusoma na kupitisha bajeti ya hilo eneo, kupitisha sheria za eneo linalo wahusu na kulinda na kutunza katiba ya nchi. Mlichofanya Kenya ni kubadili jina la kazi from Councillor to Member of County Assembly. Lakini upatikanaji wa diwani na MCA ni sawa maana wote wanatokea kwenye vyama vya kisiasa na wote wanachaguliwa na wananchi, na wote wanakaa kwenye mabunge ya maeneo husika.
 
Ruto vs Kalonzo...itakua noma
Nadhani Kalonzo muda unamuacha nyuma, wapiga kura wa wengi wa kenya na Afrika kwa ujumla ni vijana wadogo ambao wanatala kuongozwa na vijana wenzao. Miaka 10-15 iliyopita usingeona mtu kama Sonko nanashika jiji kama Nairobi.
 
Hii nzuri ikija Tz maana ili kiongozi uchaguliwe unahitaji kuwa na uwezo wa kuongoza na uwe tayari kufanya kazi na watu wengine bila kujali itikadi za kisiasa....wakati mwingine figisufigisu za kisiasa zinawabeba watu na kuonekana ni viongozi wazuri kumbe hakuna fursa ya kupokea changamoto
 
Umesikia nikisema kua nataka kua mwanasiasa? watanzania akili zenu sijui mnafikiria aje,,,,,,,,,hata hivyo nikiingia siasa nitakua na mwalimu wangu Ustadh Ruto William. na siezi anza na MCA nitaanza na kiti cha ubunge.
Mkuu unaongea na mtz mmoja usijumuishe wote unahisi wewe ni bora kuliko watz wote waliopo!
Baada ya siku ndefu sonko na kenyatta walijinafas paleee statehouse[emoji2] [emoji2] [emoji109] View attachment 572087


Sent using Jamii Forums mobile app
 



Elimu ipi ya bure??? elimu yenye hamuezi hata kutunga sentensi moja ya kingereza!!! haya wafunze majura wenzako utofauti wa kati ya diwani na mbunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…