Hatimaye msela Sonko akabidhiwa mji wa Nairobi

Hatimaye msela Sonko akabidhiwa mji wa Nairobi

Utanielewa tu,
Sonko ni kama yule wenu Paul Makonda, anasimamia mkoa wa Nairobi, tofauti ni kwamba kwetu inabidi uchaguliwe na wananchi, ila kwenu Makonda aliteuliwa na rais.
Sasa ukiangalia Dar, imegawanywa kwa maeneo bunge kama Ubungo n.k. vile vile Nairobi kuna maeneo bunge pia ambayo mojawapo imechukuliwa na mbunge mpya Jaguar.

Hongera kwa jibu zuri
 
Havikuchanganyi!! sema huelewi chochote maana hujasoma ,,,Kenya kuanzia mwaka ujao elimu ni ya bure chekechea hadi shule za upili njoo Kenya usome angalau utapunguza upumbavu wako,,,,,,huwezi tofautisha kati ya mbunge na diwani at your age? Jaguar ni mbunge wa eneo bunge la starehe ,sonko ni gavana wa Nairobi . Diwani huku kwetu hatuna tulikua nao hizo enzi tukawatoa kwa sasa tuko na MCAs ,,members of county assembly.

Elimu yako haijakusaidia ,kwani ungeeleza bila kukashfu ungepungukiwa nini ? Au ndo ujuaji wa kijaruo? Stupid
 
Umejibu kwa kejeli sana utadhani huendi msalani. Poor you!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona unajiaibisha mkuu? yaani hujui tofauti kati ya mbunge na diwani? mbona hata mtoto mdogo anaelewa? sasa gavana ni kama Mayor lakini bado kuna wabunge kama Jaguar...sasa Sonko atakuwa ni bosi wa Jaguar

Sijajiabisha nimeuliza swali general ili kupanua mjadala ni wengi tu wanachanganga ,hata wewe utakuwa shahidi kwa majibu yaliyotolewa hapa
 
Elimu ipi ya bure??? elimu yenye hamuezi hata kutunga sentensi moja ya kingereza!!! haya wafunze majura wenzako utofauti wa kati ya diwani na mbunge.
Nani alikuambia Tanzania bado ni koloni la uingereza? Mpaka siku [Kenya] mkijitabua na kukata mzizi wa kikoloni, ndio mtajuwa umuhimu wa kuwa mafrika.
 
Elimu yako haijakusaidia ,kwani ungeeleza bila kukashfu ungepungukiwa nini ? Au ndo ujuaji wa kijaruo? Stupid

Ujuaji wa kijaruo my ass ,Idiot !!! its not kijaruo its kijaluo,for your information am not a luo,and am not here to educate you .read wide ,no one will waste his time here trying to educate empty head.
 
Sultan Joho Ali ,,,,,,,,tumemwambia arudi shuleni aka some kuanzia januari na amekubali sasa 2022 wakutane na William Ruto akiwa ni msomi wang'ang'anie urais wote bila shaka tutapata mshindi.
wasemavyo Joho has a hand in drug deals....kama kweli hafai kua Raisi or makamu...just like Escobar anajua how to win his wars na ndio maana kawatupa mbali sana Wiper n Jubilee candidate...
 
True. He will not go beyond governor seat ,,we will put him where others like him were put.
Though all this are rumours..if he had hand in the accident of Saitoti together with Mwau,Kabogo,Sonko etc....then the governor seat s oky for him..give a higher post than that he will become greedy...u see ow greedy is Ruto
 
Kwa taarifa yako mimi ni mtanzania, I have never wronged any Kenyan to that extent, stop being naive. Ndiyo maana hamna ajira, those words do depict the true you.

Sent using Jamii Forums mobile app

ukisema mengine bakisha ,maana watakucheka watu wanaokufahamu ,,,Sijasema natafuta ajira hapa ,sihitaji kuajiriwa I create opportunity for other young men in my country
 
Kwa taarifa yako mimi ni mtanzania, I have never wronged any Kenyan to that extent, stop being naive. Ndiyo maana hamna ajira, those words do depict the true you.

Sent using Jamii Forums mobile app

ukisema mengine bakisha ,maana watakucheka watu wanaokufahamu ,,,Sijasema natafuta ajira hapa ,sihitaji kuajiriwa I create opportunity for other young men in my country.
 
Though all this are rumours..if he had hand in the accident of Saitoti together with Mwau,Kabogo,Sonko etc....then the governor seat s oky for him..give a higher post than that he will become greedy...u see ow greedy is Ruto

Even that of Ruto is just an allegation that has no basis ,we know that his critics are out to finish him politically ,but the guy is smarter than them .
 
Back
Top Bottom