Utanielewa tu,
Sonko ni kama yule wenu Paul Makonda, anasimamia mkoa wa Nairobi, tofauti ni kwamba kwetu inabidi uchaguliwe na wananchi, ila kwenu Makonda aliteuliwa na rais.
Sasa ukiangalia Dar, imegawanywa kwa maeneo bunge kama Ubungo n.k. vile vile Nairobi kuna maeneo bunge pia ambayo mojawapo imechukuliwa na mbunge mpya Jaguar.