Hatimaye Mungu amebatilisha Ushindi wa kulazimisha baada ya mechi kuchezwa dakika 108

Yani refa ana hasira mpaka katoa kadi3 🤣🤣
HApo hapo mpaka dakika ya 100 hawa wasiwasi yuko kwenye box la Fountain anaendeleza mpira
 
Simba kwa sasa inabebwa na waamuzi wa mchongo.
 
Shida ya watu wanaojifanya wanamjua Mungu sana,, ukishakua hvo lazima uwe shida kwa jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…