Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Wale waliamua kuishi kama waseja mkuu, na hiyo ndio namna ambayo imani zao inataka waishi ikiwa watachagua kutumikiaMuonyeshe wake za Mapadrii
Muonyeshe waume za Masister
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale waliamua kuishi kama waseja mkuu, na hiyo ndio namna ambayo imani zao inataka waishi ikiwa watachagua kutumikiaMuonyeshe wake za Mapadrii
Muonyeshe waume za Masister
Ebu wewe jaza nafasi yake mkuu, usichezee bahati...😋Anasema hakupendi😃😂
UsinizoeeMambo sinyorita...😘
Tukio nini???Sawa Ila Mimi kuoa tena basi sitaki tena
Ndio yeye mazima au utani
Akifa?😂😂😂😂mkuu huu uzi nimeusoma yaan hapa nishaongea na jamaa angu mwanasheria kanihakikishia As long ye yupo hatuwez gawana mali nilizochuma mm
Muulize mwenyeweNdio yeye mazima au utani
Tukio gani?Tukio nini???
Mkuu labla ndoa yako ila za wengi hazipo hivyo zina furaha,Amani na Upendo 😍Tatizo la ndoa unatoka asubuhi tamu unarudi usiku kinawaka afjiri baada uamke ufanye ibada unaamkq unakusanya mabegi kwenu
Haaaaaaaa 🙄🙄🙄🙄🙄🙄
FutaHaaaaaaaa 🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Acha vitisho.........Futa
FutaAcha vitisho.........
Aliyekudanganya kuoa ni mafanikio ni nani kijana wetu?Wakuu naoa mm😂😂
Alooo 😂😂😂Kwanza ncheke
Naongea kwa utani kwasababu mm nina masihara sana.Hadi sasa nina miaka 34
Wadogo zangu wote walishao
Umri wangu walishaoa
Kila naemjua alishaoa
Nimesemwa sana aisee
Wazazi walihisi sidindi daah
Ila nilikua sijapata mtu ambae hata wazo la kumuoa lilikua linakuja kichwani.
Kifupi kila niliokua nao Tulikua hatuendani .
Kuna binti mmoja sasa ndo nilivomuona nikasema namuoa !
KIFUPI TANGU SIKU YA KWANZA NILIVOKUTANA NAE nikajisemea huyu ndio mke wangu!
La haulaaaaa Ghafla imo ,,,ni mvumilivu ananivumilia yaan mm nina personality ngumu sana !! Yaan huwa najisemea hata ningekua mwanamke singeweza kuishi na mtu kama mm”…..
Hali hyo ilinifanya nichelewe kuoa au kufuata mkumbo wa kuoa.
Naomba Mungu anilipizie maumivu yote
Ndoa ikawe ndoa kweli kweli
Nikatoe kizazi bora
Siku nitazame subira yote hii niseme ilikua na maana kubwa sana…….
Najua ndani kunaweza kuwa kivumbi lakini kama utabiri wangu ni kweli Basi huyu ndie niliyechaguliwa na mungu
Wakuu
Usiache kushare experience yako tunajifunza mengi kutoka kwa watu kuliko kusoma vitabu na movie
FutaBeats😀😀😀😀