Kuna mtu anayejua kama habari za kansa ni za kweli?
Mambo ya ugonjwa wa mtu ni mambo binafsi (private matters) ndugu yangu. Haya maswali yako hivi nia yake ni nini? Unarudiarudia maswali yaleyale bila kupata majibu kwa vile maswali yako yanaonekana ya kichochezi na yasiyo na msingi.