Kuna mtu anayejua kama habari za kansa ni za kweli?
Kuna mtu anayejua kama habari za kansa ni za kweli?
Hizi ni assumptions ambazo niko entittled to provided mtuhumiwa aliekufa akiwa huru ndiye aliyekuwa mtuhumiwa namba moja kwenye sakata lote la EPA!
We kwanini unafikiri wamarekani wamekomalia kwenye utolewaji wa ripoti?
Wanataka kuuona ukweli ambao haukuhusisha kumuhoji suspect number one!
Na sisi tunataka tuione hiyo ripoti ya uchunguzi ambayo haikumuhoji mtuhumiwa nmba moja na wala haikumtafuta mtuhumiwa namba moja!Bali walisubiri mpaka afe akiwa huru!
Kwa hiyo sasa hivi unakubali kuwa Ballali amekufa?
Either Aliuwawa Ili Ushahidi Usitumike
Ama Ni Mpango Wa Zamani Kuanzia Serikali Ya Mkapa kwa makubaliano yao na Ballali.. Wakamleta Kufanya Uharamia Wakijua Atakufa Kwa Kansa Na Hivyo Familia Yake Itapata Manufaa.Hii posibility ipo kwasababu jama labda alikuwa keshaambiwa kuwa ngoma ntolee baada ya mika 7 na akala dili na mfisadi wa nchi yetu walipomtoa huko IMF na kumweka BOT ambapo waliiuza nchi huku wakijua kuwa ushahidi utakufa baada ya miaka hiyo 7!
Ama Ni Kweli Ame Fake Kifo Chake Na Serikali Haijui
Ama Amafake Kifo Chake Na Serikali Imeshiriki
Ama Ni Kweli Aliwekewa Sumu Wakati Akiwa Wamesha Mset Up Na Mapesa Kutoka!
Tatizo Hapo Ni Kwanini Familia Haijasema Ukweli Wa Kila Kitu!
Sasa Hayo Hapo Juu Hakuna Kesi Hapa Ya Kupelekeshana?
mhm ! kama mahakamani wallahi tungekuwa tushajifunga kamba wenyewe !
naona humu tunatumia lugha si chini ya 200 kwenye ishu moja ! kansa, kauliwa, cant he die of nechro kozez jamani ?
Either Aliuwawa Ili Ushahidi Usitumike
Ama Ni Mpango Wa Zamani Kuanzia Serikali Ya Mkapa kwa makubaliano yao na Ballali.. Wakamleta Kufanya Uharamia Wakijua Atakufa Kwa Kansa Na Hivyo Familia Yake Itapata Manufaa.Hii posibility ipo kwasababu jama labda alikuwa keshaambiwa kuwa ngoma ntolee baada ya mika 7 na akala dili na mfisadi wa nchi yetu walipomtoa huko IMF na kumweka BOT ambapo waliiuza nchi huku wakijua kuwa ushahidi utakufa baada ya miaka hiyo 7!
Ama Ni Kweli Ame Fake Kifo Chake Na Serikali Haijui
Ama Amafake Kifo Chake Na Serikali Imeshiriki
Ama Ni Kweli Aliwekewa Sumu Wakati Akiwa Wamesha Mset Up Na Mapesa Kutoka!
Tatizo Hapo Ni Kwanini Familia Haijasema Ukweli Wa Kila Kitu!
Sasa Hayo Hapo Juu Hakuna Kesi Hapa Ya Kupelekeshana?
Masaka conspiracy theories zitamalizwa na familia pamoja na watawala wetu!
Wawe honest na watanzania watawasamehe!
Masaka conspiracy theories zitamalizwa na familia pamoja na watawala wetu!
Wawe honest na watanzania watawasamehe!
siku zote kuna watu hupenda udaku na kupenda mambo yaende au watu waamini wanavyotaka wao
hawana nafasi ya kujiuliza au kufanya tathmini ni watu wa ovyo sana
hata rafiki yangu mkjj amewan'gamua maana wao wanataka kila mtu awe na mawazo yao kwa sasa mkjj anaonekana msaliti
Kweli kabisa Mtu wa Pwani,
Ukionekana kukubaliana na habari kuwa Ballali amekufa basi wewe unaonekana msaliti na watu wanakubeza bila sababu. Hata kama ikitokea kuwa Ballali hajafa, bado hakuna ushahidi wa kuthibitisha hili. Kwa sasa ni udaku tu na uchochezi usio na msingi.
Si kuna rumours kuwa alikuwa akiugua kansa sijui ni ya saratani ama something...Sasa hapo mara nyingi watu wa aina hii wanajua kabisa kuwa watakufa na muda wa kuishi wanaujua!
Sasa kwanini tusifikiri kuwa kuna mpango kwasababu walijua kuwa lazima atakufa kwa kansa?
Je nafasi za juu kama hizo watu huwa hawapimwi afya?
Je rekodi zake za afya zinasemaje?

nimeshindwa maneno ya kuandika kuhusiana na hili ! ulichosema ni SIMPLY IMPOSSIBLE ! kazi za ugavana hapewi mtu yoyote tu yule bila ya uchunguzi ! either serikali ilijua au you made a mistake in your info ! sio kweli ! serikali has to know wanayempa kazi !
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ! umenivunja mbavu !
Mushi,
Mambo ya magonjwa ya watu ni binafsi (private) na huwezi kuanza kuyadai hapa. Hivi haya maswali yako yanataka kuprove nini hapa? Na hata kama ukijua kuwa alikuwa na kansa, kwani ni makosa kuajiri watu wenye kansa?