Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
Anna Muganda Kafanikiwa Kulidanganya Taifa Mpaka Serikali Yake Kuwa Mumewe Kafa....... Duh Hii Kweli Kali

Mimi naona Balali Kafa hila tatizo lililopo ni kutokana na jinsi alivyo kutwa na mauti ndicho kinachotisha katika kutoa Information zote.

Nafikiri ni muda tu, ngoja azikwe hili mwili wake upotee baada ya hapo labda tutapata information zaidi.
 
Fundi,

FMES anaongelea Ubalozi a bongo Marekani. Au?

Tatizo ni alikuwa anajibu bandiko lililohusu ubalozi wa Marekani Tanzania! Alifanya haraka bila kuangalia kilichoandikwa. Asingeweka bandiko la Mkuu Rufiji mambo yangekuwa poa. Naona aliteleza na alikwa anawazungumzia wawakilishi wetu huko Washington.
 
mimi nashindwa kuelewa watanzania tuna nini, balali kafa "mapenzi ya mungu" serikali ilisema haijui huyu mtu kalazwa hosipitali gani huko marekani sasa kafa wanatutangazia wamejuaje kafa wakati walikuwa hawajui alipolazwa au walikuwa wamemficha wao?
au walimficha ili wampe sumu kama tunavyosoma kwenye magazeti alinyweshwa sumu?
 
Mkuu FMarshal ES,
Nimekukubali sana hasa kwa juhudi zako. Kweli nakubaliana nawe kwamba hapa kuna utoaki Elimu. Hata mimi nilikuwa mbumbumbu sana wa mambo mengi. Lakini Elimu inayotolewa hapa JF inahitaji some IQs ya kuchambua. Sasa Mkuu mimi nimepata kizungu zungu na ya fuatayo:

"3. .......kuwa Mkono alikutana na marehemu siku za karibuni ambapo alimkabidhi dataz nyingi kuhusiana na BOT."

So mkono anyosiri kubwa? Je Mkono si fisadi? Niliona shares zake Bank M etc etc. If then Mkono is lawyer to Balali at the same time Mkono ninamwona kama fisadi wengine. Will we get those datas?

"Kwa maoni yangu ni kwamba, ninaamini kuwa Marehemu alikuwa poisoned na kukimbilia US, waliom-poison walikuwa wanajua how long ile sumu itachukua kummaliza, marehemu alikwenda na kukaa hospitali kwa muda wa angalau miezi miwili akaamini na hata madakatari wake wakaamini kuwa amepona, lakini ile sumu ilikuwa bado inaendelea kumla, someone was out there kuhakikisha kuwa katika kipindi anachosubiri ile sumu immalize haongei na wala hatoi habari yoyote nje kwa kulikisha habari kuwa wapo wanamtafuta, ninaamini kuwa ni mkulu mmoja ndiye aliyepewa jukumu la kuhakikisha kuwa anauliwa"

Hiyo nayo sawa ni opinion lakini naishiwa maneni

.... "na ningeweza ningeiomba serikali inipe nafasi ya kukutana na ninayemuhisi ili nimuulize uso kwa uso kuhusu hiki kifo ninaamini 100% kuwa ni yeye ndiye anayehusika na hiki kifo"

Nadhani by the time unapewa hiyo nafasi utakuwa nawe wameshakufanyizia nadhani kwa sasa utumie jukwaa hili hili ambalo mimi binafsi nahisi ni powefull.

"....na unawapa watu wengi sana hapa elimu kwa hiyo ni vyema kujaribu kuwaelimisha wengine, badala ya kuwa wabinafsi, na sina tatizo na maoni ya wengine pia on this ishu!"

Kwa statement hiyo nakuheshimu sana mkuu an umesema kweli na ndivyo navyo amini.
Asante sana Mkuu endelea kutupa vitu hapa.
 
Nimeongea na mfanya kazi mmoja wa hiyo funeral home iliyoka 2222 Wisconsin Ave, na jamaa mwanzo alisema kwamba leo hakuna funeral ceremony yoyote. Baada ya muda kidogo akasema yeah kuna mmoja kwenye kanisa mmoja ambalo limetajwa kwenye list.

I still smell blood kwenye hichi kiffo, all in all nitakuwepo kwenye events. Labda wawe na check in security.
 
Mtanganyika to gatecrash a funeral.Owen Wilson has nothing on you.
 
Baba we want that spirt. Hakikisha umeenda kabisa na hata kama kuna security check stay a distance and update us on what is happening
 
Nimeongea na mfanya kazi mmoja wa hiyo funeral home iliyoka 2222 Wisconsin Ave, na jamaa mwanzo alisema kwamba leo hakuna funeral ceremony yoyote. Baada ya muda kidogo akasema yeah kuna mmoja kwenye kanisa mmoja ambalo limetajwa kwenye list.

I still smell blood kwenye hichi kiffo, all in all nitakuwepo kwenye events. Labda wawe na check in security.

Mkuu Mtanganyika,

Tuwakilishe vema huko, ila angalau wasikukabe shingo.
 
hivi mkataba wa balali kwa BOT ulikuwa upi? was he working as an expert au alikuwa anafanya kazi kama raia?
 
Too late Mkuu,

Ishakuwa public knowledge kitambo mpaka bureaucrats wetu washaikubali, siyo breaking news tena.

Pundit si unajua kulikuwa na wabishi humu?hadi jana tumebishanasana watu hawataki kuamini kuwa amekufa sasa huyu mdau tusimbeze yeye kaamua kuwaprove wrong walokuwa matomaso hata baada ya vyombo mbalimbali kuthibitisha hilo.

Heshima mbele mkuu,kazi njema
 
hivi mkataba wa balali kwa BOT ulikuwa upi? was he working as an expert au alikuwa anafanya kazi kama raia?

Kweli utampa expert kama gavana wa BOT? Alianza kama mshauri wa Mkapa, kitu ambacho naamini angeweza kufanya kama expert lakini sio gavana.

Nchi yetu iko weak mno inapokuja kwenye mambo ya mikataba, inaelekea huwa hatujali kabisa kusoma small prints.

Watanzania hata huku majuu wanaliwa sana kwenye vitu vidogo kama simu na utilities zingine shauri ya kushindwa kusoma contracts kabla ya kusaini. Kusoma vizuri small print kunahitaji kama nusu saa tu lakini mtu anajifanya hana muda, analiwa pounds 500 ambazo kwa mbeba box kama sisi wengine ni kazi ya zaidi ya wiki.

Tuna safari ndefu, inabidi tubadilike, usimwamini mtu kwenye business hata kama ni ndugu, inabidi kila kitu kiwe sawa kwenye contract.
 
Pundit si unajua kulikuwa na wabishi humu?hadi jana tumebishanasana watu hawataki kuamini kuwa amekufa sasa huyu mdau tusimbeze yeye kaamua kuwaprove wrong walokuwa matomaso hata baada ya vyombo mbalimbali kuthibitisha hilo.

Heshima mbele mkuu,kazi njema

Mimi namwamini FMES kwa data lakini kwenye hili naamini pia kwamba Ballali HAJAFA.

Siwezi kuamini maneno ya wasanii kama akina Anna Muganda ambao kwa miezi tisa sasa wamekuwa wakitoa uongo kwenye public kwa faida ya mafisadi.

Mpaka nione ushahidi wa picha au mtu atuambie hospitali alikolazwa na kupelekwa baada ya kufa hapo nitaweza kuamini.

Inakuwaje hata hospitali tu inakuwa ni siri? Ilikuwa siri kabla ya kufa lakini hata baada ya kufa ni siri?

Tukijua hospitali ni rahisi sana kuchunguza.
 
Nimeongea na mfanya kazi mmoja wa hiyo funeral home iliyoka 2222 Wisconsin Ave, na jamaa mwanzo alisema kwamba leo hakuna funeral ceremony yoyote. Baada ya muda kidogo akasema yeah kuna mmoja kwenye kanisa mmoja ambalo limetajwa kwenye list.

I still smell blood kwenye hichi kiffo, all in all nitakuwepo kwenye events. Labda wawe na check in security.

Tafadhali sana Mtanganyika....don't even blink kwenye eneo la tukio. Tunasubiri taarifa kutoka kwako. Ila kama hili ni changa la macho....wanaweza wanafamilia wakaenda mpaka hapo kwenye funeral home na kingia ndani wewe ukabaki nje huoni kitu. Wanajua watu wataenda tuu eneo lile.
 
The dataz ni kwamba......

1. Ubalozi wetu DC umekuwa ukijaribu kujiingiza kwenye msiba lakini mpaka jana ulikuwa bado haujakubaliwa na mjane wa marehemu, labda kama leo atawakubalia wawepo huko kwenye mazishi, lakini uwezekano ni nill.

2. More dataz ni kwamba mjane is very bitter pia na gazeti la TZ Daima, kwa kitendo chake cha kukimbilia kuzitoa habari hizi, wakati zilitakiwa zibaki ndani ya familia.

3. Ndugu wa marehemu walianza kuwasili DC toka Jummane, hadi leo wameendelea kuwaisli huko kwa ajili ya mazishi na msiba.

4. Mkuu Mtanzania, kwa ulelewa wangu mdogo, Grreen Card ni lazima iwe validated kila mwaka kwa kuingia ndani ya US at least once a year, ukishindwa kufanya hivyo automatically inaisha kazi, na hayo yamempata mshikaji wangu mmoja aliyerudi kugombea ubunge hapa bongo, na kushindwa kurudi kule US on time na sasa hawezi kwenda tena. Lakini kunaweza kuwa na ukweli zaidi ya huu!

5. Now ninaomba nirudie kuwa kwangu binafsi, huu mjadala ni mijadala yote mingine huwa ninaichukulia very serious, kwa sababu ninaamini kuna wananchi wengi sana wanaokuja hapa kupata habari muhimu kwa taifa lao, hapa tunashirikiana kuhabarishana na kuelimishana, na wengi wetu tulikuja hapa JF kwa sababu ya ku-create alternative ya habari muhimu za taifa letu, hasa baada ya mtandao kununua media zote za bongo,

Sasa kama una habari muhimu kuhusiana na hii topic, tafadhali ziweke hapa ili tuelimishane na tuhabarishane, ninawaomba baadhi ya ndugu zangu muelewe kuwa taifa zima liko hapa kujaribu kupata habari, ukiangalia wiki hii nzima habari za magazeti kuhusu hii ishu ya marehemu, 90% zinakuwa zimetoka hapa JF, kama kuna habari yoyote hapa unaona ina makosa basi irekebishe kwa kuweka marekebisho, binafsi ninapata feedback nzito sana za kutoka kwa wananchi wengi sana kuhusiana na habari zetu hapa,

Ninawaahidi wananchi na taifa zima kuwa tunajaribu kila njia kutafuta habari za ukweli na kuziweka hapa, inapotokea kuwa zina kasoro inakuwa ni kasoro za kibin-adam ambazo haziwezi kuzuilika, lakini sio kwamba tunajaribu kwa makusudi kuwa-mislead, ninawaomba sana ndugu zangu kuwa tujaribu kuwa serious kidogo na michango yetu hapa, taifa linatuangalia, in the last two weeks nimeshuhudia the media bigs wa taifa letu wakitutafuta tuwape habari, I am humbled, lakini tutaziweka hapa tu JF.

Ahsante Wakuu!
 
mkuu FMES.

Mie bado sitaki kuamini hili suala mpaka nione mwili wa Balali ukizikwa,mambo ya kulishwa achanga la macho simo.

ndio maana nimekaa kimya kwa muda nikitafakari hili suala,nitakuja kukielezea nacho kijua kuhusu balali.

ila what i know balali alikuwa Mgonjwa siku nyingi sana hata kabla ya mwaka jana.
 
Mimi naona Balali Kafa hila tatizo lililopo ni kutokana na jinsi alivyo kutwa na mauti ndicho kinachotisha katika kutoa Information zote.

Nafikiri ni muda tu, ngoja azikwe hili mwili wake upotee baada ya hapo labda tutapata information zaidi.

No p mzee, ila mi bado niko palepale jamaa hajafa wala nini
 
... kama kuna habari yoyote hapa unaona ina makosa basi irekebishe kwa kuweka marekebisho ...

Ninawaahidi wananchi na taifa zima kuwa tunajaribu kila njia kutafuta habari za ukweli na kuziweka hapa, inapotokea kuwa zina kasoro inakuwa ni kasoro za kibin-adam ambazo haziwezi kuzuilika, lakini sio kwamba tunajaribu kwa makusudi kuwa-mislead, ninawaomba sana ndugu zangu kuwa tujaribu kuwa serious kidogo na michango yetu hapa, taifa linatuangalia, in the last two weeks nimeshuhudia the media bigs wa taifa letu wakitutafuta tuwape habari, I am humbled, lakini tutaziweka hapa tu JF.

FMES huwa hupendi kuswalishwa na maswali unayoyaita logic. Ulicho kiongea hapo huwa huki-practice.

Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki? Pundit endelea kumtia disiplini!
1PubicFlogPST_468x348.jpg
 
Nimeongea na mfanya kazi mmoja wa hiyo funeral home iliyoka 2222 Wisconsin Ave, na jamaa mwanzo alisema kwamba leo hakuna funeral ceremony yoyote. Baada ya muda kidogo akasema yeah kuna mmoja kwenye kanisa mmoja ambalo limetajwa kwenye list.

I still smell blood kwenye hichi kiffo, all in all nitakuwepo kwenye events. Labda wawe na check in security.

Mtanganyika,

Sasa wewe na mwanahabari aliyetupatia hii link nani aaminiwe?

Mwanahabari said:

Nikifuatilia hiyo link hapo naona mwanahabari ametoa info nzuri tu kwa funeral crashers kama mimi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom