1.
where do you get the nortion that mtu akikwambia otherwise na unavyofikiribasi anakuogopa/pingana na wewe ? hata kama mtu yupo against na wewe, isnt that why we are here ? Usiseme kwamba you cant go against na mimi kwa sababu unanijua mno (angalau ni kweli) lakini naona kama unajilimit yourself unapochukua uamuzi kama huo !
Mkuu Kada,
Heshima yako, hii ni moja ya misimamo yangu sio hapa tu, bali hata in the real life, huwa kuna watu ninaamua tu kuwa sipendi kuwagusa, hata wanitukane kiasi gani, na huwa ni kwa sababu ya kuwajua kuliko wanavyofikiri, ndio maana nimesema kuwa siwezi kwenda against you kwa sababu zangu za binafsi, kwa sababu forum ni one thing, lakini at the end of the day sisi bado ni bin-adam, ndio maana knowing you as I do nimeamua not go against you, nafikiri kwenye ishu kama hizi hata wana-forum huwa wananilelewa, kwa sababu wakiniuliza in private ninaweza kusema ni kwa nini, kwa hiyo mkuu ninarudia ninajisikia mzito sana kwenda against you, huko nyuma niliwahi ksuema the same kuwa siwezi kwenda against Freeman, kwa sababu ninamjua mno kwa hiyo mkuu hii yako sio mara ya kwanza!
2.
Ebu ichukulie tupo kwenye siasa, wewe waziri mkuu mimi waziri wa kawaida, nafanya ushenzi then wewe kama waziri mkuu ukae kimya kisa unanijua sana ? dont you think you might be doing the wrong thing by thinking you are doing the right thing ?
Mtu ninayemfahamu kwa karibu kama wewe siwezi kumpa uwaizri mimi nikiwa waziri mkuu, siwezi period no mjadala on this one, ninasema siwezi!
3.
AU KUSAHIHISHWA WEWE HUPENDI ??
Sina tatizo na kusahihishwa, Mwanakijiji amenisahihisha kuhusu Winsconsin, mimi dataz nilizopewa ni kwamba marehemu, alifia Winsconsin State, kumbe ni somewhere in DC lakini ni Winsconsin Street, wala sikubisha wala kumjibu kwa kejeli, ni kwa sababu amenisahihisha bila ugomvi, wala kejeli, au matusi tone ilikuwa ya kistaarabu na amenihakikishia kuwa ana ukweli zaidi ya nilionao kwenye hilo neno, hakuna ubishi wala matsi wala ugomvi,
Tatizo la wengine ni kwamba kwanza hawana ukweli wa wanachojaribu kunisahihisha, halafu habari niliyoitoa ni ndefu na kubwa, wao watalilia one small thing kwenye ile habari ambacho hakina umuhimu wowote na ile habari, ili tu waonekane wamenishihisha, halafu in the end wakiulizwa ukweli walionao kuhusu ile habari hawana hata moja, that I have a big problem with that, ukunisahihisha kistaarabu nitakujbu kistaarabu, ila ukija na matusi au kejeli, nafikiri you know me better on that kuwa sina tatizo kuongea lugha yoyote!
4.
Anyway nilichokuwa nasema ni kwamba info za kwenye net sio PRIVATE na ndio maana ziko kwenye net, ila pia vile vile kuna nyingine ambazo ni private lakini means of obtaining hizo info ni illegal !
Kwenye hili msimamo wangu unaeleweka na nimeuweka very clear, nilisema hivi wakati ninatafuta habari za Balali kuwepo Boston, niliwa-touch washikaji wangu wengi sana huko ambako pia niliwahi kuishi kule Cambridge, Boston miezi kama mitatu hivi na kuna mshikaji wangu mmoja huko in the 90s, kwa hiyo huko Boston sio kwamba mimi ni mgeni, sasa kama unaishi huko wewe unamjua Sir Alex, mkulu wa CUF mzee wa Real Estate ambaye niliwahi kuwa naye melini ni mshikaji wangu damu damu kwa hiyo sio kwamba nilikuwa ninajaribu kum-mislead anybody hapa, hapana huko Boston nina marafiki wengi sana wenye nafasi nzito kama kina T, na wasiokuwa na nafasi nzito kimaisha pia,
Niliweza kuthibitishiwa kuwa Balali hakuwahi kuwepo huko na moja ya sababu nilizopewa ni kwamba huko kulazwa hospital sio a private matter kisheria, unaweza kutafuta jina la hospitali na ukapata habari mgonjwa wako yupo wapi, lakini sikusema kuwa unaweza kujua habari za ugonjwa wa yule mtu kwenye internent kama ilivyokuja kugeuzwa na wenye akili hapa JF,
Na hapo juu nimethibitisha hilo kwa kuweka habari za mtu aliyelazwa hivi karibuni ambazo zipo kwenye internent, hayo yako mengine sikuyasema na wala siyajui, ila nilichosema ni kuwa habari za mgonjwa kuwepo Hospitali gani sio private matter, sasa nimeshambuliwa weee na mpaka kuuuliziwa credibility yangu kwa kitu ambacho nimekuthibitishia kuwa I was right na ukweli uko hapo juu unajisema wenyewe,
Otherwise, sina mpango wa kuwataja majina watu wa Boston, kama ni mkulu wa Springfield, nimeongea naye juzi tu kabla hajaondoka, kwa hiyo mkuu we are everywhere na hatuna noma na ukweli, lakini kuchafuliana majina kwa kutumia uongo sio vizuri, na huwa hatukurupuki na dataz au nfo, no huwa tumetulia sana,
Anyways heshima mbele mkuu, tuendelee kukata ishus!