Nyama Hatari
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 219
- 12
hapa nilichogundua kuna watu wanajua baadhi ya vitu lakini wamekaa kimya tu . mtu kama FMES anapofanya juhudi ili kutupasha habari wao wamekaa kimya tu wanangoja kukosoa,
FMES endelea na juhudi kutupasha habari mkuu kadri ya vile utakapozipata na kuridhika kwamba kwa kiasi zilivyo zinafaa kutumegea,katika ishu kama hii ya msiba wa Balali, logic bila dataz ni sawa na maji mtoni, utayabebaje bila kibebeo?.
FMES
Thats what we call .............. Whats up? Wasiokuwa na data wakae kimya wasome na kama hawaelewi waulize maswali badala ya kuleta vioja. Kajisemea Mzee Mwanakijiji wakishindwa hoja wanaleta viroja.
Now Balali is dead and burried, its a right time to find out who was enjoying our money with him ... Was it Che-nkapa? JK and his CCM government? Or was it Mkono and his sky rocketing firm? or was it other FISADI's?
BTW London Chenge alikuwa na FSO na EL alifuatia wamefika wapi hawa waheshimiwa? Wenye dataz ... dataz tu hadi walipakodi wafaidi angalau kidogo.
F
MES Mkuu,
Hii ni kama vile kumlazimisha mgonjwa anywe dawa, ni kwanini hatuwekei hata picha ya mazishi? tunajua Balali kafa mbona unatumia nguvu sana mzee kuwalazimisha watu wakuelewe? sisi sote twajua Balali kafa,mzee wetu acha apumzike,
field now nimejua why ur strong!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
keep it up men ukiona tunakupinga sehemu nyingine hiyo ni mawazo ya mtu kwahili tuko nyuma yako tumwagie data ,mkuu
Hamna lolote na si chochote bali ni tabia (au tuseme jadi) ya Waswahili ya kupongezana, kulindana, kuabudiana na kushabikiana hata kama mtu hajui au amekosea (something which appears to be straight out of CCM rulebook!). Hii tabia imekithiri baina ya Watanzania na ndiyo inayotufanya tubaki nyuma siku zote! Damn!!