Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
hapa nilichogundua kuna watu wanajua baadhi ya vitu lakini wamekaa kimya tu . mtu kama FMES anapofanya juhudi ili kutupasha habari wao wamekaa kimya tu wanangoja kukosoa,
FMES endelea na juhudi kutupasha habari mkuu kadri ya vile utakapozipata na kuridhika kwamba kwa kiasi zilivyo zinafaa kutumegea,katika ishu kama hii ya msiba wa Balali, logic bila dataz ni sawa na maji mtoni, utayabebaje bila kibebeo?.

FMES

Thats what we call .............. Whats up? Wasiokuwa na data wakae kimya wasome na kama hawaelewi waulize maswali badala ya kuleta vioja. Kajisemea Mzee Mwanakijiji wakishindwa hoja wanaleta viroja.

Now Balali is dead and burried, its a right time to find out who was enjoying our money with him ... Was it Che-nkapa? JK and his CCM government? Or was it Mkono and his sky rocketing firm? or was it other FISADI's?

BTW London Chenge alikuwa na FSO na EL alifuatia wamefika wapi hawa waheshimiwa? Wenye dataz ... dataz tu hadi walipakodi wafaidi angalau kidogo.

F
MES Mkuu,

Hii ni kama vile kumlazimisha mgonjwa anywe dawa, ni kwanini hatuwekei hata picha ya mazishi? tunajua Balali kafa mbona unatumia nguvu sana mzee kuwalazimisha watu wakuelewe? sisi sote twajua Balali kafa,mzee wetu acha apumzike,

field now nimejua why ur strong!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
keep it up men ukiona tunakupinga sehemu nyingine hiyo ni mawazo ya mtu kwahili tuko nyuma yako tumwagie data ,mkuu

Hamna lolote na si chochote bali ni tabia (au tuseme jadi) ya Waswahili ya kupongezana, kulindana, kuabudiana na kushabikiana hata kama mtu hajui au amekosea (something which appears to be straight out of CCM rulebook!). Hii tabia imekithiri baina ya Watanzania na ndiyo inayotufanya tubaki nyuma siku zote! Damn!!
 
yeah.. lakini wengine emotions zao zinaongoza fikra zao na hivyo wanajikuta wanatawaliwa na emotions. Kitu kimoja kuhusu emotions ni kuwa wakati mwingine zinadanganya; mtu anayefuata emotions atajikuta kwenye matatizo mengi kwani hali halisi yaweza isiwe hivyo. Ndio maana unapojadili mambo mazito kama yanayohusu Tanzania lazima mtu alinde sana emotions na kuhakikisha haziingilii uchambuzi yakinifu wa hoja na ukweli. Ndio maana nimeshauri kuwa you need to "calm down" kwa kweli itakusaidia sana kujenga hoja.

Mzee Mkj.

Professionaly, Its strong concept you gave! That Its how it should be said.

Someone come up with this:

Your emotional upsets have literally turned you upside-down. Even though you were technically correct in what you said or did, if you did it resentfully, your emotions backfired and confused you and as you began to doubt yourself, conflict, depression and fear grew.Emotion has destroyed your objectivity, and, failing to see clearly, you have made terrible errors of judgment. This, in turn, led to a fear of making decisions, so that perhaps you began to look too much to others for guidance, and you know how upsetting it can be if they happen to be wrong or take advantage of you.

You must learn how to be patient with selfish and thoughtless people. You must learn to be poised and calm; otherwise, what is wrong in them shows up in you and makes you look like the bad guy. Everyone is so fascinated with what went wrong with you that they fail to see what they did wrong to you, and that becomes another upsetting, frustrating and scary experience.

http://www.duniahai.com/Being upset.html

and

How to Conquer Negative Emotions

Resolve the effects of pain, fear and stress and discover how to conquer your negative emotions.

http://www.fhu.com/books/emotions/index.html
 
Is this confirmed for real? I mean for real real?

I would like to see the pictures too!
 
F

Hamna lolote na si chochote bali ni tabia (au tuseme jadi) ya Waswahili ya kupongezana, kulindana, kuabudiana na kushabikiana hata kama mtu hajui au amekosea (something which appears to be straight out of CCM rulebook!). Hii tabia imekithiri baina ya Watanzania na ndiyo inayotufanya tubaki nyuma siku zote! Damn!!

kweli tupu msee..binafsi nimejikatia tamaa, maana hii inadhihirisha wazi ni jinsi gani kazi ilivyokuwa kubwa ya kuikomboa Tanzania( kama hicho ndicho kweli tufanyacho hapa)!!! we're doomed......
 
Sasa na wewe hapa ndo umefanya hicho hicho huyu kinyama alichosema!! Waafrika Ndivyo Mlivyo....
 
Wazola Slaa ni zuri kusema iundwe tume.
Kwa kuwa tume watatoa ripoti kwa niaba ya wananchi ambo wana dukuduku na utata.Inawezekana watu wana taarifa zingine ambazo mimi na wewe hatujui,na ikiwepo tume kila mwenye kitu ataenda atahojiwa na kutoa maelezo.
Hili la kuunda tume nalo hatuwezi hadi tumwachie Mungu?No

To be honest iti is wastage of time and there is no use to create a probing commitee in the current political and leadership environment .

I would have expected for Slaa to demand the progress report on EPA investigation Commission to be made public so Taifa could get at least an ounce of what has already be done, who has been investigated and who has surrendered the money.

Hii kuomba kamati kuchunguza kifo cha Ballali will be watsage of tax payer money, Na usishangae Serikali kuunda kamati na wajumbe kulipwa $100 kwa siku, wakarushwa kuja USA kwa wiki mbili na watalipwa alawensi kibao halafu wakirudi nyumbani wanakuja na death certificate ambayo inaonyesha chanzo cha kifo. As if it is fact kuwa kulitumwa genge kuja kumuua kwa sumu!
 
Uchunguzi wa kimataifa unafaa..Mambo ya kamati hayana muda..Tumeona yaliyotupata na haya makamati!
 
Mushi,

kama Uchunguzi wa Radar, IPTL, Meremeta, Tangold, Buzwagi na EPA serikali inasita kufanya kazi zake, tuna uwezo gani kuwalipa wachunguzi wa kimataifa?

Suala pamoja na kuwa ni uwezo, je unaamini kweli ndani ya moyo wako kuwa Serikali yetu na Uongozi wa nchi una nia ya kufanya uchunguzi wa kweli kusahihisha haya mambo?

SFO wanachunguza nani kutoka BAE alitoa rushwa. Serikali ya Tanzania na PCCB wanawasaidia SFO na uschunguzi wa SFO, lakini hawafanyi uchunguzi wa ndani kujua ni vijidudu gani vilijipatia vijisent na kuliingiza Taifa Mkenge.

The only hope ya Uchunguzi kutatua matatizo ya Watanzania na hasa hii mikataba mibovu na then Ballali na role yake BOT na hata mazingira haya yaliyoishia kuwa ni kifo yatafanikiwa ikiwa tutakuwa na Uongozi na Serikali ambayo ina nia kufanya kazi hiyo.

Mtaundiwa kamati leo ambao itakuja na majibu butu na batili tutarudi kule kule!

Uwezo tunao, Sababu tunazo, lakini ni mpaka nia iwepo, ndipo tutakapopata majibu.
 
Haja ya kuwalipa hatuna sisi...Ni Threshold program kwenye ule mkataba wa millenum Challenge aliosaini Kikwete na Bush ndio uliotoa dola millioni zaidi ya 15 kuhakikisha kuwa haki inatendeka hata kama tatizo ni financing!
Tatizo hapa ni utumiaji wenyewe...Ni kama ule waliofanya kwa kuwatuma wale maofisa 7 kuja kuhakikisha kama ni kweli Ballali kafa!
 
JMushi1,

Hapooo!... Navyojua mimi walifika kwanza kabla ya Mkuu hajaaga dunia (Kolimbatizimu) What a coincidence!
 
balalialikuwahum023iy1.jpg

Daudi Balali Marehemu alipokuwa anapelekwa kuombewa Kanisani.

Picha kwa hisani: Mpiga picha USA
 
Tuna uwezo wa kuwadai wamarekani wafutilie kama kweli pesa walizozitoa kwenye kuhakikisha haki inatendeka zimetumika hivyo kuhakikisha kuwa ni kweli haki imetendeka na si vinginevyo!
Ballali alimwambia Meghji aandike barua kwasababu Ikulu imesema pesa hizo zinakwenda kwenye issue za usalama wa Taifa!
Baadae sana...Tena baada ya pesa zote kutolewa hadi hatua ya mwisho kwenye makampuni...Ndio Mama naye eti akazuga kuwa ile taarifa yake ya mwanzao aliyowaandikia barua kina Ballali ili kudhibitisha utoaji wa fedha hizo si kweli....Kwamba Ballali alimuongopea!Sasa Mama keshaulizwa kuwa nani alimwambia kuwa Ballali aliongopa?
Sasa Ballali alishaulizwa kuwa ni nani aliyemwambia amwambie Mama Meghji aandike barua ili aitumie kama kigezo kuwa serikali imetoa baraka zake?
Haya Mama Meghji akaandika barua mpya na kusema kuwa ile ya mwanzo ifutwe....TOO LATE...Walisubiri mpaka pesa zote zitoke ndio waje na hicho kituko!
Sasa mpaka hapo kulikuwa hakuna haja ya kumfanya Ballali kuwa mtuhumiwa ama shahidi?
 
Quote:
Quote:- Kuhani

I mean huyu mtu kasema jana kwamba kwenye State ya Massachusetts unaweza kupata info za mgonjwa kwenye internet. Watu wanaishi Marekani hapa miaka enda rudi halafu kweli mtu anatamka kitu kama hicho unaendelea kum grant credibility? Such informational and analytical travesty? I mean you would think JF is predominantly of tech-savvy, socially conscious and informed members watakao google vitu kabla kuvibugia, hata kama you have no concept of 'patient confidentiality' norms, which are almost unbreakable everywhere in America.

Quote:
Quote:- Internet

Senator Kennedy, cancer diagnosis/Brain cancer, admitted at Mass. General Hospital in Boston. Out of the the hospital, his doctors are weighing Chemotherapy and Radiation Treatments. No futher annoucemment.

source: Mass. General Hospital, Boston Massachusetts State.

Hamna lolote na si chochote bali ni tabia (au tuseme jadi) ya Waswahili ya kupongezana, kulindana, kuabudiana na kushabikiana hata kama mtu hajui au amekosea (something which appears to be straight out of CCM rulebook!). Hii tabia imekithiri baina ya Watanzania na ndiyo inayotufanya tubaki nyuma siku zote! Damn!!

Mkuu Nyama hatari maneno yako mazito sana mkuu, ninakuvulia kofia maana zako ni busara nzito sana!
 
1.

2.

3.

4.

5.
Ni budi tuwe makini kwa kila namna kwa kuzingatia kwamba UKWELI HAUPINGIKI kwani safari tuliyonayo ni ndefu mno. Ahsante. [/
B]

Mkuu ninakushukuru sana kwa kusimamia ukweli, inaonekana unaujua sana ukweli ndugu yangu, na ndio hasa tunachotaka hapa JF, ukweli na sio unafiki, matusi, kejeli, viroja au logic bila facts wala hoja. Nyama hatariiiiiiiiiiii as if wote hapa JF ni majuha! kwi!kwi!kwi!kwi!kwi!

Ahsante Mkuu!
 
Thats what we call .............. Whats up? Wasiokuwa na data wakae kimya wasome na kama hawaelewi waulize maswali badala ya kuleta vioja. Kajisemea Mzee Mwanakijiji wakishindwa hoja wanaleta viroja.

Now Balali is dead and burried, its a right time to find out who was enjoying our money with him ... Was it Che-nkapa? JK and his CCM government? Or was it Mkono and his sky rocketing firm? or was it other FISADI's?

Mkuu Dua,

Salute brother, na ubarikiwe tu! Ukweli ni ukweli hauwezi kuwa logic wala chuki au unafiki na majungu na uzandiki!

I am glad kwamba sio watu wote hapa JF ni wanafiki kama wenzetu, kumbe bado kuna wanaojali ukweli, I love JF!
 
Tuna uwezo wa kuwadai wamarekani wafutilie kama kweli pesa walizozitoa kwenye kuhakikisha haki inatendeka zimetumika hivyo kuhakikisha kuwa ni kweli haki imetendeka na si vinginevyo!
Ballali alimwambia Meghji aandike barua kwasababu Ikulu imesema pesa hizo zinakwenda kwenye issue za usalama wa Taifa!
Baadae sana...Tena baada ya pesa zote kutolewa hadi hatua ya mwisho kwenye makampuni...Ndio Mama naye eti akazuga kuwa ile taarifa yake ya mwanzao aliyowaandikia barua kina Ballali ili kudhibitisha utoaji wa fedha hizo si kweli....Kwamba Ballali alimuongopea!Sasa Mama keshaulizwa kuwa nani alimwambia kuwa Ballali aliongopa?
Sasa Ballali alishaulizwa kuwa ni nani aliyemwambia amwambie Mama Meghji aandike barua ili aitumie kama kigezo kuwa serikali imetoa baraka zake?
Haya Mama Meghji akaandika barua mpya na kusema kuwa ile ya mwanzo ifutwe....TOO LATE...Walisubiri mpaka pesa zote zitoke ndio waje na hicho kituko!
Sasa mpaka hapo kulikuwa hakuna haja ya kumfanya Ballali kuwa mtuhumiwa ama shahidi?

Unachanganya madawa hapa...
(1) Fedha ilichotwa kabla ya Mama Meghji kuingia pale Wizarani
(2) Barua ilikuwa kujibu audit querry iliyokuja baadaye.
(3) Mama Meghji alisema wazi kwamba baada ya kugundua Balali alimdanganya alicounter ile barua ya kwanza (audit ikiwa bado inaendelea)
(4) Balali hakujibu hoja ya yeye kudanganya...

So argument yako ya kusema barua ILIIDHINISHA malipo sio sahihi. Barua ILIJIBU audit querry.
 
Source:- Internent

According to a death certificate first obtained in the internet iconic actor Charlton Heston's official cause of death was pneumonia.

The actor, who portrayed such epic characters as Ben-Hur, Moses and Michelangelo, died on April 5 of this year the age of 84 at his home in Beverly Hills, with his wife, Lydia, by his side. At the time of his passing, representatives released no details regarding the cause of death.

According to his death certificate, a public document, Heston's immediate cause of death was pneumonia. In 2002, the actor acknowledged he suffered from Alzheimer's.

Kumbe hizi habari zinaruhusiwa kuwepo kwenye internent? Lakini haziruhusiwi kule Boston au Massachusets State, au?

I mean this is fun! Never seen like this before! It is just fun!
 
Unachanganya madawa hapa...
(1) Fedha ilichotwa kabla ya Mama Meghji kuingia pale Wizarani
(2) Barua ilikuwa kujibu audit querry iliyokuja baadaye.
(3) Mama Meghji alisema wazi kwamba baada ya kugundua Balali alimdanganya alicounter ile barua ya kwanza (audit ikiwa bado inaendelea)
(4) Balali hakujibu hoja ya yeye kudanganya...

So argument yako ya kusema barua ILIIDHINISHA malipo sio sahihi. Barua ILIJIBU audit querry.

Barua iliyokuja ili kujibu audit querry ni either faked ama ni ya kujitetea tu!
Ile ya kwanza pia ni yake...Atueleze kwanini aliipinga baada ya joto la audit!
Kwenye Ballali kutojibu hoja ya kudanganya ni kwasababu Kikwete hakutaka afanye hivyo mpaka Mungu alipoamua Ballali afe akiwa huru!
Sasa unaniambia nchi isipewe jeshi hii?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom