Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

Status
Not open for further replies.
... wewe yatizame vizuri maandishi ya Mwakilishi, hapo juu, halafu uniambie eti yeye sio one of the people ambao wamekuwa wakinishambulia kwenye hii topic, sasa sio kwamba sijamuelewa hapana nimeshamshitukia tayari, na siku zote watu wa namna hii hapa JF wenye chuki na wivu ndio tabia zao hizi!

FMES, heshima yako mkuu!

Yaani...you couldn't be further from the truth, let alone reality. Nimekushambulia wapi? Unless of course by "kushambulia" you mean to point out a couple of factual errors, or inconsistencies if you will, in your "dataz".

Unapotoa hizo "dataz" unataka watu waitikie tu "ndio mzee" hata kama wanaona kuna inconsistencies? Yaani mtu kuhoji tu ishakuwa kukushambulia...geez!

FMES, hunijui wala sikujui, I read what you write in here, and if I don't agree with it or if it's riddled with factual errors, I point them out constructively, nothing more nothing less. Don't get all worked up and paranoid, it'll just cloud your judgement even further and you'll endup feeling that whole world is out to get you. Kumbe kivuli chako mwenyewe tu.
 
Hii kesi ya Balali nakiri ni controversial kushinda kesi zote nilizozisikia hapo Tanzania, kwanza kabisa siku ijumaa nilipata kuonana na baadhi ya washikaji waliondesha kutoka Springfield, MA. Nao walideclared ya kwamba Dr. Balali kafia state ya MA mjini Boston. Hili swala linakinzana na habari za kwamba amefia kwenye nyumba yake pale Georgetown, DC.

Msiba ulikuwa kwa ndugu tuu and that was strictly business. Wapo washikaji wanaokaa DC ambao walipata kuingia kwenye msiba. Lakini hakuna any evidence kwamba huyu bwana alifia wapi na alipatwa ugonjwa gani.

The whole things sound so fishy.
 
FMES, heshima yako mkuu!

Yaani...you couldn't be further from the truth, let alone reality. Nimekushambulia wapi? Unless of course by "kushambulia" you mean to point out a couple of factual errors, or inconsistencies if you will, in your "dataz".

Unapotoa hizo "dataz" unataka watu waitikie tu "ndio mzee" hata kama wanaona kuna inconsistencies? Yaani mtu kuhoji tu ishakuwa kukushambulia...geez!

FMES, hunijui wala sikujui, I read what you write in here, and if I don't agree with it or if it's riddled with factual errors, I point them out constructively, nothing more nothing less. Don't get all worked up and paranoid, it'll just cloud your judgement even further and you'll endup feeling that whole world is out to get you. Kumbe kivuli chako mwenyewe tu.
riginally Posted by Field Marshall ES
... wewe yatizame vizuri maandishi ya Mwakilishi, hapo juu, halafu uniambie eti yeye sio one of the people ambao wamekuwa wakinishambulia kwenye hii topic, sasa sio kwamba sijamuelewa hapana nimeshamshitukia tayari, na siku zote watu wa namna hii hapa JF wenye chuki na wivu ndio tabia zao hizi!
 
riginally Posted by Field Marshall ES
... wewe yatizame vizuri maandishi ya Mwakilishi, hapo juu, halafu uniambie eti yeye sio one of the people ambao wamekuwa wakinishambulia kwenye hii topic, sasa sio kwamba sijamuelewa hapana nimeshamshitukia tayari, na siku zote watu wa namna hii hapa JF wenye chuki na wivu ndio tabia zao hizi!

Makubwa nani akuonee wivu wewe FMES?kama unaleta dataz zenye sumu watu wakae kimya?
 
Sijajiunga hapa JF muda mrefu, JF ilikuwa na moto wakati najiunga, na hata viongozi wetu waoga wote JF ulikuwa (bado?) ni fimbo kwao,

sasa kwa mabishano na kutoleana maneno machafu na ya kashfa, hasa toka kifo cha Balali, imekuwa ni vurugu kabisa, heshima imeshuka, na naamini kabisa hata nyani hawaiogopi tena JF maana sisi wenyewe tunajikanyaga na kugongana ile mbaya, habari zinatofautiana, kwa kifupi hata hamu ya kusoma post nyingine sina (natumaini wako wengi wenye hali kama yangu), tusipanic, let us wait mengi sana juu ya kifo cha jamaa yatakuja (naturally), hiyo riport yake (Hosea,mwanyika & Mwema'z) tuu ninauhakika kutakuwa na mashimo kibao ambayo ni vigumu kufukia yote, ndio hapo tutakapo wanasa,

NAAMINI SANA MENGI YANAKUJA
 
ndugu tuandamane i support u kuwa ni makosa makubwa sana kushambuliana na kukashifiana sisi kwa sisi lakini i think hili loote latokana na hii habari ya kifo hiki na kisha mazishi kuwa na maswali mengi ambayo kwa wenye hekima ni vugumu mno kuamini kama jinsi tunavyolazimishwa kuamini...shida sasa upande mwengine huo unaolazimisha tuamini hivyo wanataka kutumia nguvu zaidi nadhani tungekua twaonana face to face wangetumia hata viboko..
mfano tu ni pale watu tunapohoji iweje tuionyeshwe picha za marehemu ndani ya jeneza,which is somethin yaweza kutumika kuhakikisha kwa wale waliofiwa wakiwa mbali kuwa mpendwa wao katutoka,twajibiwa then wat next tutaomba video za wakati anakata roho?
ila twaamini Mungu yupo na yoote haya yatafunuka tuna watazidi umbuka tu lets keep on waitin
 
Ni kweli lakini bado nasema hiyo namna ya kueleweshana hata kama mtu ana hasira ni kujishushia heshima, tena kwa kiasi kikubwa sana, toka jmosi napata shida sama kusoma post za JF, ikanifanya jpili nzima nisiingie barazani... inatia uvivu na hasira, hebu tujaribu kujiheshime, naona watu hapa mnatafuta sifa, unamarufu kwa nguvu sana kituambacho sidhani kana ndio dhamira kuu la hili baraza, maana nimegundua kunawatu hapa, ilimradi fulani kaongea, atamiminiwa mithanks hata kama kaongea pumba

Tuache malumbano turudi kwenye dhamira ya JF
 
Unajua ni ujuha sana kubadili majina lakini ukashindwa kubadili maneno, mkuu Sam toka uanze na majina yako imefikia mahali ni aibu, ninajaribu sana kukuwepa kwa sababu zote unazijua, na majuzi tu ukitumia jina lako la Chief umenitumia PM ukiomba msaada, halafu wewe tena una maneno haya? Hivi nikwambie lugha gani mkuu ili uweze kuachana na mimi na familia yangu? Inaelekea maneno ya thanks yanakuumiza sana na umaarufu wa watu hapa ambao wewe umeulilia lakini umeshindwa kabisa kuupata hapa na majina ayko yote karibu 50, wewe unajua heshima wewe juha? Eti unajua maana ya binadamu kuheshimika wewe? Wewe unajua maana ya heshima? Ulifikiri unanidanganya na hili jina kwamba sijui wewe ni nani? Mkuu usinichezee na hasa kuhusu heshima nitaweka mambo yako hapa JF uaibike wewe, yale maneno uliiyoyaandika kuhusu Ipyana, kwa jina la Achebe, ninayo mkuu na nilishayafikisha tayari, the day is coming very close hutaamini kinachokuja, now shut up!

Wakuu wengine huko juu nimewasikia, na ninawatakia mafanikioa makubwa hapa JF, ila mimi ndiye Field Marshall ES original na sina wasi wasi na shallow minds hata siku moja, kama mlivyoji-display hapo na maneno yenu na majina yenu, mimi huwa ni jina moja tu na huwa ninaweka vitu vizito, hapa tuna demokrasia ya kweli, yaani kukubali ya mwingine na kukataa ni kawaida, ila huwa tunaktaa kwa hoja na sio upumbavu, hapa JF hajwahi mtu kulazimsihwa kukubali au kukataa, isipokuwa tu ni magi magoi wa akili ndio huwa kazi kulia lia huku wakiwa hawana ukweli, hoja, facts wala dataz, I am not impressed na hizo njama zenu kwa sababu kwenye hoja nzito mmeshindwa, tena kwa aibu kubwa sana, sasa naona mnajaribu kutafuta remedy kwa njia tofauti na zinazokubalika hapa JF, za hoja kujibiwa kwa hoja, naona sasa mnaleta viroja,

Unajua niliwahi kukaaa sana Kinshasa Kwa kilingala, mimi ninaitwa...." Kokobanga na kokobanga wa kokobanga" yaani Muzee wa Bazeee na wa Bakulutu kwa hiyo karibuni hapa JF tuendele kukata ishus, kuhusu kifo cha Balali, nimetoa dataz za kutosha na nimeamua kuacha na hamuwezi kufanya anything zaidi tu ya kulia lia, mimi siwezi kwenda kumpigia mtu picha hapa, nikupe dataz halafu nikakupigie picha? Ila punguzeni kulia lia kama watoto wa dogo hapa JF ni ya watu wazima.

Ahsanteni Wakuu na Nimewasikia, I hope mmenisikia pia! Lakini hata siku moja hamnistishi wala siwaogopi hata muwe watu millioni moja nitaendelea kuwapiga kwa dataz na hoja nzito!
 
Vipi wanasema walipata na nafasi ya kumuaga marehemu? Au waliishia kuliaga jeneza ambalo hawakujua ndani kuna nini?

Mkuu wangu Mtanzania,

Heshima mbele, ninaomba nikubali kuwa huko kwenye mazishi kulikuwa na some very disturbing news, na nisingependa kuendelea kuwapa watu faida on this, lakini cha muhimu ni kwamba watu karibu 100 walishiriki, wazungu, wabongo, na waafrika wengi hasa kutoka The Worl Bank, ambako Marehemu na mkewe ni watu maarufu sana huko kwenye hiyo community.

Nitakutwangia simu in another one hour.
 
Field Marshall ES usikate tamaa..Endelea kutupa ze dataz..Kumbuka hii thread haijawahi kuwa na watu chini ya 20 kama sikosei toka hii saga ianze..Na the saga continues...Kuna wananchi wengi wanafuatilia kwa karibu ambao hawawajui nyie wakuu kama mnavyojuana..Bali wanawatizama kwa moyo na macho ya matumaini ili kuweza kuupata ukweli wa yaliyojiri..Hivyo basi ni bora tuendelee kukata ze ishus kama unavyopenda kusema.
Pia waungwana wengine kama kina Kuhani Mkuu na wengineo nao ni chachu kubwa sana hapa jf.
JF ni kama chungu chenye mlo maridhawa wa habari za kila namna kwenye mbongo za watanzania na waafrika wengine popote pale walipo duniani.
Chungu hicho kina chakula chenye manufaa ya kila namna na vitamini halisi kwenye afya za kifikra za watanzania hususan kipindi hiki kigumu na chenye majaribu nchini mwetu.
Chakula nacho hupikwa kwa ingredients nyingi tu ili kinoge..Kuanzia vitunguu,swaumu,giligilani na chachandu za aina mbali mbali ili tu kunogesha mapishi.
Tunafahamu kuwa bila ingredients kucounterbalance each other then mlo unaweza ukawa na ladha mbaya..Mfano ukizidisha chumvi basi ladha nayo huisha.
Hivyo basi wakuu...Ili kuendelea kulinda heshima yenu na credibility ya JF..Ni bora muweke maanani umma wa watanzania ambao kila kukicha wako hapa kuja kuwasikiliza na kupata yale yanayojiri bila kusahau kuelimishana na kusameheana hence moving forward.
 
Field Marshall ES usikate tamaa..Endelea kutupa ze dataz..Kumbuka hii thread haijawahi kuwa na watu chini ya 20 kama sikosei toka hii saga ianze..Na the saga continues...Kuna wananchi wengi wanafuatilia kwa karibu ambao hawawajui nyie wakuu kama mnavyojuana..Bali wanawatizama kwa moyo na macho ya matumaini ili kuweza kuupata ukweli wa yaliyojiri..Hivyo basi ni bora tuendelee kukata ze ishus kama unavyopenda kusema.
Pia waungwana wengine kama kina Kuhani Mkuu na wengineo nao ni chachu kubwa sana hapa jf.
JF ni kama chungu chenye mlo maridhawa wa habari za kila namna kwenye mbongo za watanzania na waafrika wengine popote pale walipo duniani.
Chungu hicho kina chakula chenye manufaa ya kila namna na vitamini halisi kwenye afya za kifikra za watanzania hususan kipindi hiki kigumu na chenye majaribu nchini mwetu.
Chakula nacho hupikwa kwa ingredients nyingi tu ili kinoge..Kuanzia vitunguu,swaumu,giligilani na chachandu za aina mbali mbali ili tu kunogesha mapishi.
Tunafahamu kuwa bila ingredients kucounterbalance each other then mlo unaweza ukawa na ladha mbaya..Mfano ukizidisha chumvi basi ladha nayo huisha.Hivyo basi wakuu...Ili kuendelea kulinda heshima yenu na credibility ya JF..Ni bora muweke maanani umma wa watanzania ambao kila kukicha wako hapa kuja kuwasikiliza na kupata yale yanayojiri bila kusahau kuelimishana na kusameheana hence moving forward.

mhm !! inaelekea unapenda sana mambo ya msosi mzee ! vipi saratani ya cancer ?? hehehee, lol !
 
Umesahau niliposema ni msosi wenye vitamini kwenye fikra za kila mtanzania bila kujalisha kama yeye ni kada wa CCM ama la.
Serikali yenyewe haina mlo wa kifikra unaopatikana hapa JF..Wenyewe pia huja hapa na kudokoa dokoa kwa wizi!
Nani aliyetoa taarifa zote za kila kitu unachokijua kwenye siasa za Tanzania ambacho ni controvesial kwa miaka ya hivi karibuni zaidi ya JF?
 
Umesahau niliposema ni msosi wenye vitamini kwenye fikra za kila mtanzania bila kujalisha kama yeye ni kada wa CCM ama la.
Serikali yenyewe haina mlo wa kifikra unaopatikana hapa JF..Wenyewe pia huja hapa na kudokoa dokoa kwa wizi!

nikiuliza for justification, utatoa ?? sio unachofikiri, bali facts ! asante ! sasa saratani ya caner vipi ??
 
Hivyo basi wakuu...Ili kuendelea kulinda heshima yenu na credibility ya JF..Ni bora muweke maanani umma wa watanzania ambao kila kukicha wako hapa kuja kuwasikiliza na kupata yale yanayojiri bila kusahau kuelimishana na kusameheana hence moving forward.

It was a good posting!
 
nikiuliza for justification, utatoa ?? sio unachofikiri, bali facts ! asante ! sasa saratani ya caner vipi ??

Sijakuelewa vizuri..
Ila naamini niliposema "Fikra" Ulinielewa.
Facts huendelea kuwa facts hadi hapo kutakapotokea source nyingine ama habari nyingine zenye ku convince ambazo kifikra tutakubali kuwa zilizopita zilikuwa si facts
 
nilikuwa namaanisha nikikuuliza uproove unachosema utaweza na sio kutapatapa sijui kwa sababu hakuna source nyingine, how sure are you ? umefuatilia au ndio umekuwa glued to jf kiasi kwamba hujui source nyingine ? anyway tusiende huko !

Nimekuelewa uliposema fikra ! glass class ! ok
 
Kada sikusema "Hakuna source nyingine" Nilisema "Kutakapotokea" source nyingine..ama habari nyingine..Either kutoka kwenye sources zile zile ama za tofauti.
 
labda kiswahili kinakupiga chenga ! unaposema "KUTAKAPOTOKEA" what should that mean ? simple, it means at this time there is NO source nyingine ! au una maana gani tena nyingine, labda sijakuelewa !

hiyo ni lugha ya wajanja ! (na ambao hawana uhakika na wanachokisema, ndio maana utakuta authors, editors wengi hutumia hilo neno pale ambapo hawajafanya research ya kutosha, au they came up with nothing ) i hope you are not one of dem !
 
labda kiswahili kinakupiga chenga ! unaposema "KUTAKAPOTOKEA" what should that mean ? simple, it means at this time there is NO source nyingine ! au una maana gani tena nyingine, labda sijakuelewa !

Basi kama hayo ndio maoni yako then waombe waungwana waufunge mjadala.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom