Hatimaye nime mpata

Hatimaye nime mpata

Hii thread ina controversy kubwa sana, inaonesha how jamii bado haijawa inashikilia mitazamo ambayo ni outdated!
Nadhani ni ujinga tu, watanzania ni wa kwanza kukalamika kuwa Uhuru una banwa.
Ila deep inside ni Wao ndo shida halisi.

Maana kumiliki mnyama ni mambo ya kawaida kabisa.
 
Kitaalamu,
Naona cat wako ana minyoo so nashauri umpe Ascetin P ni kidonge cha minyoo saga na mchanganyie kwenye chakula,supu au maziwa.
 
Back
Top Bottom