Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

Pole sana. Ila mhhh anyway pole Dada
Wewe dada kumbuka hakuna mwanaume asiye na changamoto, ulipaswa kuvumilia, leo hii umekataa kupelekwa Buza unaenda kukutana na mwanaume mlevi, mgomvi, mwizi au malaya utafanyaje?
 
MUNGU AMEKUSAMEHE DADA YANGU KUTOKA KTK HIYO DHAMBI... usihofu utapata mwanaume aliye sahihi ktk maisha yako... Nikupongeze umegundua maisha yako ni bora kuliko ahadi ya ndoa... Ukweli ni kwamba hata siku moja hakuna mwanaume anayekubali kumuoa mwanamke anayemfanyia ufiraji, kwahio hapo ungepoteza muda tu... Enjoy your life God bless you
 
Ile style ya dog huwa inasaidia sometime unajua kama Mwanamke anaingilia.
 
Boss si ungesema hapana au ulikuwa umeshikiwa Bunduki?
 
Kwanini ulikubali kufanya tell us the motive behind.

Nadhani ulikuwa na wewe unawish kujaribu siku moja ndio maana ulifanya .

Sijaona sehemu umesema ulishikiwa bastola na kulazimishwa kufanya.
 
Kwa hiyo saivi huna bikra zote Tena?mhuni keshatindua mtaro huo mwaka mzima..na imagine mjamaa atakayekuoa aise ..wanaume tuna kazi Sana.
 
Kujiskia vibaya maana yake it's not you thing, na huyu mwanaume kama alikua anachukulia poa basi dhamira yake imekufa ktk hilo jambo, kufanya uamuzi WA kuachana na hilo swala ni jambo Moja kuhold on ni swala lingine na hapo inahitajika neema ya Mungu,coz the door is already open, utahitaji mtu ambaye hatsentatain hiyo mambo.
All in all we are all struggling with certain things we do ambavyo hatuvipendi, sote tu wakosaji na tumepungukiwa na utukufu WA Mungu. Grace of God is enough for us all, let's repent and start anew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…