Hatimaye nimefanikiwa kutoa pesa zangu zote bank ya CRDB

Kidogo nimuingize mkenge Mzee mmoja kwenye ile Samia Infrastructure Bond ya CRDB!! Angenilaani sana yule Mzee!!!

Nilichogundua taasis binatsi ikiwa na Mkurugenzi chawa wa waziwazi ni red flag.
 
Mimi juzi nililipia mzigo wa 1.8m kutoka kwenye akaunti Yangu ya CRDB kwenda NMB......
Hela inaonekana imekatwa lakini kunakohusika haijafika.......
Baadae mchana napokea sms kuwa muamala umerudishwa lakini nikiangalia kwenye akaunti yangu hela haijarudishwa......

Nimefika ofisini kwao wamenipa fomu ya malalamiko alafu wakaniambia nisubirie.......mpaka ijumaa ndio nirudi!!

Hapo kaunta nimekuta watu kibao macho yamewatoka....hawa jamaa mpaka mambo yakae sawa watasababisha ongezeko kubwa la wagonjwa visukari na presha
 
Itabidi nihame huko aloo tatizo Nmb siipendagi tu labda sababu enzi niko chuo ilikuwa patashika kwenye kulipia ada foleni lake ilikuwa balaa so mpaka sasa siitaki,, labda niende Tpb
 
Samia Infrastructure Bond.....wajinga walipigwa parefu sana
 
Ni balaa!
Kuna baadhi ya wateja mitonyo imeongezeka tofauti na salio lililokuwepo,kuna wenzangu na Mimi hata kile kidogo kimelambwa,wanakimbizana bank!
 
Wahuni wameruka na 60k cardless simbanking hela inaonekana imetoka lkn ATM imenitolea macho tu sio poa.
 
Tajiri ana laki 5 😹
Naona unapita na upepo wa CRDB 🤣

Wewe hata account huna ila upo kuwajaza member hapa..!!
Ni mwendo wa kunata na beat 😆😆
 
Ningekuwa manager wa NMB au Equity au NBC huu ndio muda ningevuna sana wateja kwa kuwapa offer nzuri za account za kibiashara na akiba.
 
Likiwa halijakukuta unaweza kuchekea chooni, Poleni Sana mliokumbwa na shida hiyo... Hii ndo TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…