Hatimaye nimefika Mpanda maeneo ya Mwese kwenda kuangalia ardhi ya kilimo na ufugaji

Hongera sana,taarifa muhimu sana hii,naomba kufahamu ukiondoa kilimo na ufugaji je kuna machimbo ya madini huko?
 
Hapa angekuwa traole angekuita akakupa kazi hii uwe kiongozi na hizo hela ili uzalishe izo ajira ulizosema. Kuna yule jamaa liyemkosoa namna ya kupambana sijui na watu Gani akapewa mafunzo then akaambiwa kuwa kapambane. Na wewe unastahili upewe v8 kumi hela zake ili uweze kulisaidia Taifa letu Mana utakuwa unayo maarifa mno na ujuzi na elimu sana ili uweze kutusaidia kusonga mbele
Kwanza nikili wazi tunaongozwa na viongozi wasiokuwa na upeo (akili/maarifa) wa kutatua changamoto za wananchi hasa wasomi wetu hapa.
 
Sahihi kabisa mkuu naweza hata leo ongea na waziri husika.

Kama una kosoa kosoa kwa hoja.
 
Nimeipenda stori yako,,ila acha kulaumu serikali kwa jambo ambalo wananchi wanaweza kulifanya, fanyia kazi fursa ulizoziona.
 
Nimeipenda stori yako,,ila acha kulaumu serikali kwa jambo ambalo wananchi wanaweza kulifanya, fanyia kazi fursa ulizoziona.
Mapoli ni ya serkali yale yapo tu mkuu.
Lawama hii inabebwa na serkali moja kwa moja mkuu. Wamekataza kufanya shughuli yoyote lakni mbali na hayo kuna vyuoa vya nyuki na vijana wanamaliza masomo hakua ajira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…