Hatimaye nimefika Mpanda maeneo ya Mwese kwenda kuangalia ardhi ya kilimo na ufugaji

Majomoto palikufanyaje Mkuu, tupe expereience
Palinifungulia fursa......
2011 Niliweza kupata ardhi ya kilimo na kufanya biashara muda ambao wengi hawakuwa wakipafikiria. Hapo mpanda mjini wajomba zangu ambao ni wafanyabiashara walinipa gepu la kuuza chumvi.

Huko Kuna msimu wa kuuza madumu ya mafuta ya lita 20 na lita 5.
Kuna msimu wa gongo wa kuuza mapipa.
Vyombo vya plastic na masufuria tuliuzia ndani ya fuso tandamu wanazengo wanapanga mstari ni siku mbili tu vimeisha.
Tanzania Ina utajiri mkubwa sana
 
Hongera sana kwa kutambua fursa maeneo ambayo wengine hawazi kufikiria
 
Palinifungulia fursa......
2011 Niliweza kupata ardhi ya kilimo na kufanya biashara muda ambao wengi hawakuwa wakipafikiria. Hapo mpanda mjini wajomba zangu ambao ni wafanyabiashara walinipa gepu la kuuza chumvi.

Huko Kuna msimu wa kuuza madumu ya mafuta ya lita 20 na lita 5.
Kuna msimu wa gongo wa kuuza mapipa.
Vyombo vya plastic na masufuria tuliuzia ndani ya fuso tandamu wanazengo wanapanga mstari ni siku mbili tu vimeisha.
Tanzania Ina utajiri mkubwa sana
Nakufahamu. Ngoja nije inbox. 😂😂
 
Nimeambiwa shemjei yangu yeye alitoboa kwa kuuza chumvi tu kwa wafugaji. Amenipongeza kisha kaniambia umechelewa sana shemeji huko patakufaa sana
 
Pm yangu inasumbua waweza uliza nikakujibu hapa kwa faida ya member wengine makazi yangu ni hapa mji wamajimoto ila nimezunguka karibu mpimbwe yote kutokana na kuwa mfanyabiashara na ukulima wa mpunga kuanzia mirumba, kibaoni, usevya, mamba, mabambasi,kabunde,senta kalunde, ziwasungu, kasansa, kilida kona, kikonko, madushi, senta unyenya, ruchima hadi kwenda muze kule ziwani mkoa rukwa.
 
Punguza kuzoea I'd mpya, hali si hali mzee.
ni kweli hali si shwari lakini kwangu aondoe shaka nipo majimoto mpimbwe ndo makazi yangu nimeguswa na bandiko lake maana linalenga mkoa ambao nipo, pia mm ni new member lakin ni mfatiliaji wa jamiiforums tangu 2014 ndio mwaka huu nimeona niungane nanyi kubadilishana mawili matatu!.
 
Pm yangu inasumbua waweza uliza nikakujibu hapa kwa faida ya member wengine makazi yangu ni hapa mji wamajimoto ila nimezunguka karibu mpimbwe yote kutokana na kuwa mfanyabiashara na ukulima wa mpunga kuanzia mirumba, kibaoni, usevya, mamba, mabambasi,kabunde,senta kalunde, ziwasungu, kasansa, kilida kona, kikonko, madushi, senta unyenya, ruchima hadi kwenda muze kule ziwani mkoa rukwa.
Hivi ile mashine ya kuchakata mpunga ya Mwamapuli inafanya kazi pamoja na skimu za Kilida na Mwamapuli?

Tulipigaga pesa ya ufisadi pale. 😂😂😂
 
Nimeambiwa shemjei yangu yeye alitoboa kwa kuuza chumvi tu kwa wafugaji. Amenipongeza kisha kaniambia umechelewa sana shemeji huko patakufaa sana
Ni kweli kabisa.,.
Kina samike ndio moja ya watu wa kwanza kwanza kuuza chumvi huko

Miaka ya nyuma mpanda ilikuwa kama kisiwa yaani bidhaa zilikuwa chache uhitaji mwingi.
Na mpka sasa najua Bado uhitaji ni mwingi huko wa bidhaa mbalimbali angalia kitu kimoja Fanya.
Nilikuchunia kuhusu kunipm sababu najua tu utafanya utafiti na kujua cha kufanya.....
Hata upande wa madini wako vizuri Fanya utafiti dhahabu IPO nyingi.
Unaweza kusogea pia hapo sumbawanga ukafanya utafiti kidogo maana pia hapo ni pazuri sana kibiashara.
Angalizo mdogo wangu..... Hiyo Kanda uchawi wao mkubwa ni chuma ulete kuanzia shambani mpka kwenye biashara kuwa makini.
Asubuhi njema.
 
Back
Top Bottom