Hatimaye nimefika Mpanda maeneo ya Mwese kwenda kuangalia ardhi ya kilimo na ufugaji

Mkuu,kuanzia kahama mjini,nzega mjini na vijijini,tabora mjini,katavi wilaya ya mlele mpanda nina watu au ndugu zangu maeneo hayo. Ni vyema zaidi tukawasiliana ili siku moja tuonane. Nipo maeneo kati ya Khm na Tabora. Kahama hapo kuna rafiki zangu wengi hasa wenye maduka ya spea za pikipiki na kuna kaka yangu amehamia huko,nzega ndipo kwa wazazi wangu, tabora mjini kuna rafiki yangu ana duka la spea za pikipiki, inyonga kuna shemeji zangu wawili mmoja amemuoa dada yangu mkubwa na mwingine ameoa mdogo wangu anayenifuata,pia kuna wajomba zangu wengi sana huko.kwa mpanda kuna ba mkwe wangu huko, so nina wenye wa kutosha mkuu.
 
Hongera sana mkuu tutachekiana muda si mrefu
 
Huko umeenda kutafuta maisha ama umeenda kutafutwa na maisha?

It is too much remote area!
Baadhii ya wazee kipindii tandale, magomeni na kariakoo pakiwa ndio mjini..

Walikua wanasema tabata ni majarubani, Mbagala Kuna Simba, kinondoni ni kijijini, huko tegeta ni bagamoyo...

Time is not static is dynamic 😁😁😁

Wasalimie kigoma.
 
ebwana nipo mitaa flani ila napasikia na kushuhudia jamaa wanavyosimulia kwa vitendo fursa na noti walizonazo.. nilikutana na mzee kijana kama ana 47hivi anasema aliingia huko mika 15iliyopita mda huo tulikuwa tunamuuzia traker swaraji kwa 59cash na tela tukamchongea kwa 8m cash... wakati wengi wananunua kwa mkopo au wamekopa... anasema hio katoa kwenye mapato ya shamba la mahindi bado mpunga... shughuli za huko tela tulimfungia supersingle mpya michaelini 1.5m kwa moja nika mwqmbia sijawahi ona mtu anafunga hio mpya ikila kisiki je akaniambia hii ikivuta mzigo kutoka majarubani mara moja kwa mkupuo ni laki tano nalipwa hata livute trip moja kwa siku naweza kuinunua yena mpya.... navyopasikia na kuona lazima ujikane mwenyewe uchukue uamuzi...
 
Back
Top Bottom