Katavi ndo Mkoa.Uzi mzuri sana ..... mpanda ndio katavi ? Ama ni miji miwili tofauti ?
Huko mwese umeplan kufuga ama kulima ? Inaonekana ardhi ya huko iko poa sana !
Hongera sana mkuu tutachekiana muda si mrefuMkuu,kuanzia kahama mjini,nzega mjini na vijijini,tabora mjini,katavi wilaya ya mlele mpanda nina watu au ndugu zangu maeneo hayo. Ni vyema zaidi tukawasiliana ili siku moja tuonane. Nipo maeneo kati ya Khm na Tabora. Kahama hapo kuna rafiki zangu wengi hasa wenye maduka ya spea za pikipiki na kuna kaka yangu amehamia huko,nzega ndipo kwa wazazi wangu, tabora mjini kuna rafiki yangu ana duka la spea za pikipiki, inyonga kuna shemeji zangu wawili mmoja amemuoa dada yangu mkubwa na mwingine ameoa mdogo wangu anayenifuata,pia kuna wajomba zangu wengi sana huko.kwa mpanda kuna ba mkwe wangu huko, so nina wenye wa kutosha mkuu.
hence: umri wangu ni mdogo na nahtaji watu wa kunishika mkono kujikwamua kimaisha. Tukishirikiana kwa pamoja tutafanikiwa... Ila jina lako huwa linanifikirisha sana mkuu. Wewe ni kutoka mkoa gani?Hongera sana mkuu tutachekiana muda si mrefu
πππ Kuhusu majina wala usiwe na hofu chukulia tu hivyo.hence: umri wangu ni mdogo na nahtaji watu wa kunishika mkono kujikwamua kimaisha. Tukishirikiana kwa pamoja tutafanikiwa... Ila jina lako huwa linanifikirisha sana mkuu. Wewe ni kutoka mkoa gani?
sawa! Mapambano mema bwana mkubwa.Kuhusu majina wala usiwe na hofu chukulia tu hivyo.
Baadhii ya wazee kipindii tandale, magomeni na kariakoo pakiwa ndio mjini..Huko umeenda kutafuta maisha ama umeenda kutafutwa na maisha?
It is too much remote area!
Mkuu kule patamu kwa waliopindaHongera sana
Baadhii ya wazee kipindii tandale, magomeni na kariakoo pakiwa ndio mjini..Huko umeenda kutafuta maisha ama umeenda kutafutwa na maisha?
It is too much remote area!
Waambiwe ushaoaππWasalimie kigoma.
Waambiwe ushaoaWasalimie kigoma.
Utakufa vibaya we mbwa π€£π€£π€£Vipi kuna mademu wakali?
Rafiki yangu sana. Kesho nitampigia kumsalimia.Ndayasuse anaonekana jamaa yako sana namfahamu sana huyu jamaa
π π π maua yetu hayo mkuuUtakufa vibaya we mbwa π€£π€£π€£
Utani tu mkuu