Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

Hivi mkuu zile paypall account na mastercard za darkweb zile ambazo zipo credited ksbisa maana kuna moja nimeona ina 5000Usd inauzwa 200usd hivi ziko legit

Kwa mwenye kujua Jamani
Ni kamali, kadi, na account kam hizo ni zile zilizo kua phished, so hata kama uta inunua make sure unaitumia in highes level of anonymous, wasije kukulilia, bit hua zina credit na zinapiga kazi fresh
 
Ni kamali, kadi, na account kam hizo ni zile zilizo kua phished, so hata kama uta inunua make sure unaitumia in highes level of anonymous, wasije kukulilia, bit hua zina credit na zinapiga kazi fresh
Kwa mfamo natumia labda disposable email za proton nikimaliza nikishanunua nahamisha kwemye my really paypol account au really mastercard bado itazungua
 
Kwa mfamo natumia labda disposable email za proton nikimaliza nikishanunua nahamisha kwemye my really paypol account au really mastercard bado itazungua
Yani hizo tumia kufanya untraceable payment, eg promotion ya fb, isije uka involve chochote kinacho husisha identity yako, au ufnye utakatishaji. Kwa mfano
Anzisha campaign kwenye fundraising platform moja wapo ni gofund me then tumia hio kadi kufanya donation ya hiyo kampain, ukiitoa hiyo pesa inakua clean japo utakua traceable ila walau una uclean kidogo
 
Kabla hujawa hacker kwanza kua programmer, ujue vema network na jinsi software zina operate, baada ya hapo ndio uanze kujifunza security , ukisha kua master wa hivyo vitu ndio unaweza kuanza kujifinza kupenetrate kwa hizo system,

Unaweza kuqnza na simple penetration kwa method za kawaida kama injection kwenye loopholes,

Join online simulation za hach challenge zita kupa experience , ukiiva utakua sasa unaweza kuanza kingia kwenye vi system uchwara kama vya vyuoni hapa Tz, maana bongo chuo chenye mfumo wa maana ni Kimoja vingine naingia navyotaka

Ukiivya huko anza kudela na system za kati, unaweza anza na makampuni ya kawaida eg, hawa jamii forum(kwa bongo wana jitahidi)

Then nenda mbele kulingana umavyo fanikiwa

Kwa makadirio hii process inaweza ikakugharimu mpaka miaa mi 3
Miaka 3 🤔🤔 inategemea na kichwa chako bana
 
Ukijipa challenge, basi hakikisha unacho ji challenge ni relevant, wangapi wanatumia Bot za tele, nani anaweza kumpanmtoto wake sim yenye telegram, ni long process mtu kumpeleka, tele pia ajue bot, tena mtoto, so as deep as it goes, the less relevant it become,

Ikiwa web app, au mobile App ina make sense zaidi, Think again,
Nakubaliana na wewe. Sina lengo la kuifanya iwe bidhaa. Lengo langu langu ninataka kujua kama parameters zangu ntakazo weka nitafanikiwa. Ni kwa lengo la kujifunza not otherwise
 
Huwezi kumaster Kwa kusoma utube tutorial hizo ama course za vyuo uchwara hapa Bongo....soma nje ya nchi,pia kuwa connected na darkweb...ingekuwa rahisi ningeshare kitu hapa ubakie mdomo wazi jinsi darkweb inavyofanya kazi na the way watu wanavyotumia technology..wanamifumo Hadi ya kubadili matokeo ya education academic...kiufupi kuna mambo mengi sana

Pia Kwa kuweza kuacces dark web lazima utumie Tor browser (ONION) app pia cyo kutumia tu huna connection na link za kukupeleka huko wewe Bado pia hakuna kitu...

HACKING ni dubwana Pana sana sana sana....kuliko kawaida..Over.
Mkuu darkweb Mimi pia ni member huko ila asilimia kubwa wamekaa kibiashara yaani hufundishwi kuhack ila una hire a hacker yaani wapo kifedha zaidi Hawa jamaa
 
Hata Kwa cm Tor browser (Onion) unaingia vzr sana na upush madeal harama vzr sana ni wewe tu ,uwe na link tu inayokupeleka huko ,kama hutojali nikutumie uone mambo yalivyo...Hii Dunia wengine hawaishi wanadindikiza
Mkuu tushirikishane kidogo hapa hivi dark web wewe inakunufaishaje? maana Mimi huwa naenda lakini sioni njia ya kuvuta mpunga
 
Hakuna kichwa,programing is all about how do it na sio how u understand it, yani more unafanya ndio more unajua, miaka mitatu ndio minimum inaweza kua hata 7
Kuna yule dogo ana miaka nane tu well known young hacker , alijifunza lini hizo programming
 
Wakuu
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.

Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?

Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh!

Nikawa najifunza kwa kuangalia video tutorials za you tube.
Then nikajaribu kufuatilia nikaambiwa siwezi kuwa hacker bila kujifunza networking, nikajifunza mwenyewe Mambo ya PAN, WAN, na LAN na jinsi network inavyofanta kazi, lakini haikuishia hapo nikaambiwa nijifunze kutumia kali Linux nikajifunza.

Nilistop kujifunza theoretically baada ya kuambiwa "

don't learn to hack , hack to learn"​

any way nilichokuja kugundua ni kwamba hacking sio vile nilidhani kilichonikatisha tamaa

Hacking sio maajabu Kama nilivyodhani , hata kupata password kwa kutumia Red Hawk kwa mfano inatumia njia ya ku guess Kila password yaani una run crack kwa mda mrefu hata wiki kabisa mpaka pale itakapopatia password ya kweli.

Kumbe huwezi kuhack laini ya mtu na kuvuta mpunga m pesa Ila kwa njia moja tu inayoitwa sim card cloning ambayo inahitajika physical access hivyo huwezi kufanya Hilo Jambo remotely labda umshawishi mtu akupe baadhi ya taarifa.

Kumbe huwezi kuhack account ya bank ya mtu kwa siku moja au mbili , ni Jambo la mwezi au miezi na inahitaji uwe angalau na taarifa za mwanzo ambazo ili kuzipata lazima uwe tapeli kwanza.

Bahati mbaya zaidi hamna sehemu ya kujifunza Hacking ukaelewa, utapata knowledge za juu juu tu kupitia videos za you tube au online courses.

Finally naweza sema kwamba

Stop living in the world of imagination, come to reality and make great​

learning hacking is nothing but wastage of time , vinginevyo labda uwe na kipaji.
🥰🤩😍🤣😂😅
 
Back
Top Bottom