Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Hamna kitu hapa. Huwezi hata mlinganisha na mdogo wangu Mo Hacker.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu hapa. Huwezi hata mlinganisha na mdogo wangu Mo Hacker.
Ukalost miaka .... Hapa ulitaka kuandika nini?Binafsi napenda hacking..but nilikaa nikajiuliza niende nikalost miaka yangu 4 au 3 kujifunza wizii ..maana mtu alie soma cyber njia pekee ya kujiajiki ni kuwa mwizi wa kimtandao. But soon I am going to Block some hacker because I extremely dislike cyber crimes
Nikapoteze mda?Ukalost miaka .... Hapa ulitaka kuandika nini?
Ulitumia lugha gani hapo? Ungetumia english au swahiliNikapoteze mda?
Huu mzunguko mbn noma
Wakuu
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.
Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?
Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh!
Nikawa najifunza kwa kuangalia video tutorials za you tube.
Then nikajaribu kufuatilia nikaambiwa siwezi kuwa hacker bila kujifunza networking, nikajifunza mwenyewe Mambo ya PAN, WAN, na LAN na jinsi network inavyofanta kazi, lakini haikuishia hapo nikaambiwa nijifunze kutumia kali Linux nikajifunza.
Nilistop kujifunza theoretically baada ya kuambiwa "
don't learn to hack , hack to learn"
any way nilichokuja kugundua ni kwamba hacking sio vile nilidhani kilichonikatisha tamaa
Hacking sio maajabu Kama nilivyodhani , hata kupata password kwa kutumia Red Hawk kwa mfano inatumia njia ya ku guess Kila password yaani una run crack kwa mda mrefu hata wiki kabisa mpaka pale itakapopatia password ya kweli.
Kumbe huwezi kuhack laini ya mtu na kuvuta mpunga m pesa Ila kwa njia moja tu inayoitwa sim card cloning ambayo inahitajika physical access hivyo huwezi kufanya Hilo Jambo remotely labda umshawishi mtu akupe baadhi ya taarifa.
Kumbe huwezi kuhack account ya bank ya mtu kwa siku moja au mbili , ni Jambo la mwezi au miezi na inahitaji uwe angalau na taarifa za mwanzo ambazo ili kuzipata lazima uwe tapeli kwanza.
Bahati mbaya zaidi hamna sehemu ya kujifunza Hacking ukaelewa, utapata knowledge za juu juu tu kupitia videos za you tube au online courses.
Finally naweza sema kwamba
Stop living in the world of imagination, come to reality and make great
learning hacking is nothing but wastage of time , vinginevyo labda uwe na kipaji.
understand how a system works rather than just using it.hio sio hatua wala ya kujifunza hacking, kwa wanaosoma kama professional yao mfano wanafunzi wa IT, cyber security, computer Engineering nk. hivyo vinakuwa kama basic skill yao, mbali na kusoma na vingine vingi , hata mmoja kati yao ni ngumu kupata ni hacker
Kama bado unahitaji kujifunza na ku practice, nitafute. Lakini sio bule utatakiwa kulipa.hio sio hatua wala ya kujifunza hacking, kwa wanaosoma kama professional yao mfano wanafunzi wa IT, cyber security, computer Engineering nk. hivyo vinakuwa kama basic skill yao, mbali na kusoma na vingine vingi , hata mmoja kati yao ni ngumu kupata ni hacker
LinuxUNatumia oparating system gani ?
Hongera mkuu, shukrani sanaKama bado unahitaji kujifunza na ku practice, nitafute. Lakini sio Bure utatakiwa kulipa.
N:B Nitakufundisha kuwa penetration tester
Wasifu wangu na maeneo yangu ya kiutendaji ;
Penetration Tester
Msc in Cyber Security and Digital Forensics
Kwa sasa nafanya project ya kujitegemea inayohusu ( kukabiliana na mashambulizi ya kimtandao katika upande wa network) Natumia AI ( ML, DL ) cryptography, network technology etc.. Karibu.
But sio free.
Na Nitakufundisha online.
Ila kweri nawezaje fanya Ivo sijui etSasa utahack vip kitu usichokijua?
When talking about hacking, it is the act of using something contrary to its intended purpose. For example, instead of entering through the door, you start entering through the roof; at that point, you are already a hacker.Ila kweri nawezaje fanya Ivo sijui et
Kuhusu MUST upotoshaji mkuu,ni Wana walikuwa wanapikwa kwa ajili ya kazi zao, nadhani walisambazwa vyuo kibao siyo MUST Tu.chuo cha MUST - MBEYA kawaida iyo.
kuna jamaa angu alikua anadaiwa ada around 800k af bado siku mbili tu wafanye mtiani ikabidi amtafute mwamba akamlipa 250k akahack system ikaclear deni akafanya mitiani kama kawaida.
iyo ya matokeo ni kawaida, nakumbuka mwaka juzi chuoni kwetu walihack wahuni wakajitoa kwenye supp ila waligundulika wakadisco.
Hacking is an art that requires you to be creative in finding alternative solutions instead of conventional methods.Hacking si kazi rahisi kama tunavyoona kwenye sinema!
Miaka kadhaa iliyopita nilisha wahi kuwa na wazo kama hilo la kujifunza huo udukuzi wa kimtandao ila nikakutana na jamaa mmoja ambaye ni mbobezi kwenye sector ya Networking na programing alinicheka sana. AKANIAMBIA nisifananishe maisha ya kwenye sinema na uhalisia kama navyoona mambo mengine kwenye sinema ya kufikirika basi hata hilo nalo la Hacking nalo limeigizwa pia halina uhalisia.
Aliniambia kuwa ukisikia mtu ni hacker ujue mtu huyo mara nyingi anakua ni mbobezi katika mfumo huo ambao anaweza kuhack. Na mara nyingi huwa mtu ambaye anaweza kutengeneza huo mfumo from scratch to the top so inamuwia rahisi kujua nini cha kufanya.
Pia mtu hawezi kufanya hacking kayika kila mfumo bali kwa mifumo michache ambayo inakuwa na weak security na anaweza leo akaingia ila kesho ikamgomea kutokana na security updates zinazofanywa na mifumo hasa ya pesa au servers zinazotunza data muhimu.
Aliniambia kama natamani kufika hiyo level nichague nachotaka kuhack then nijifunze kukiunda from scratch to the top then nijifunze mifumo yake ya ulinzi inavyofanya kazi na weakness zake baada ya hapo nijue weak spot ipo wapi na nitawezaje kuingia bila kuwa ditected na wenye mfumo..
Kwa yeye aliniambia ni kazi inayo nichukua hadi miaka 5 katika hiyo system ambayo nataka kuhack.. ndipo naweza kufanya hata jaribio tu!!
Nikaona bora nitafute hela halali !!!
Aiseee ni wewe tu ndio umeongea kitaalumakwanza lazima ujue hacking.ni.Technics ,then hacking ni illegal, wewe unachotakiwa kujifunza ni Ethical hacking. hichi ndicho unafundishwa, na kipo legally kufundishwa. hatua za hacking . tunaanzia Footprinting, Scanning, penetration, stealing of information . penetration na stealing of information ni illegal. ukiajiliwa kama Ethical hacker, unaishia keenye scanning.unascan ili kujua open.ports na kuzifanyia reconfigurations.
systems nyingi zimetengenezwa kwa programiing na database , unaweza ukaambiwa ujifunze lugha flan, programming language. au database flan ,say oracle. ukijua.hizi, siyo.kwamba zitakusaidia kufanya hacking, asilimia 100, hapana hizi zinakuongezea uzoefu na technics pale unapokutana na database ya jinsi hiyo, inakusaidia kujua how to.penetrate kwenye hiyo database. unatakiwa kujifunza njia nyingi ya kuvamia systems na kudecript ports za datasaver ili.uweze kupata taarifs, sometimes unajifunza networking, sana sana seven leyers za network deeply.hiyo.itakusaidia remote acces ya systems yoyote,, ujifunze operating systems .ndiyo maana unajifunza linux, window, ili uweze kutrack systems pale unapofanya penetration. Hacking siyo tu kujifunza darasani. hacking ni juhudi zako binafsi.kujisomea na kupractice. jifunze kwa bidii ,Kuna tools pia za kujifunza.LAKINI.NARUDIA TENA HACKING NI ILLEGAL, ETHICAL HACKING Ndiyo iko.legal kujifunza. Ethical hacker ni Mlinzi,.ni askari. ila Hacker ni mwizi, ni kibaka ni jambazi. na ukikamatwa ,utafunguliwa mashitaka kwa, sheria ya mitandao
Kwa Tanzania nawajua wawili tu.....Wakuu
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.
Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?
Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh!
Nikawa najifunza kwa kuangalia video tutorials za you tube.
Then nikajaribu kufuatilia nikaambiwa siwezi kuwa hacker bila kujifunza networking, nikajifunza mwenyewe Mambo ya PAN, WAN, na LAN na jinsi network inavyofanta kazi, lakini haikuishia hapo nikaambiwa nijifunze kutumia kali Linux nikajifunza.
Nilistop kujifunza theoretically baada ya kuambiwa "
don't learn to hack , hack to learn"
any way nilichokuja kugundua ni kwamba hacking sio vile nilidhani kilichonikatisha tamaa
Hacking sio maajabu Kama nilivyodhani , hata kupata password kwa kutumia Red Hawk kwa mfano inatumia njia ya ku guess Kila password yaani una run crack kwa mda mrefu hata wiki kabisa mpaka pale itakapopatia password ya kweli.
Kumbe huwezi kuhack laini ya mtu na kuvuta mpunga m pesa Ila kwa njia moja tu inayoitwa sim card cloning ambayo inahitajika physical access hivyo huwezi kufanya Hilo Jambo remotely labda umshawishi mtu akupe baadhi ya taarifa.
Kumbe huwezi kuhack account ya bank ya mtu kwa siku moja au mbili , ni Jambo la mwezi au miezi na inahitaji uwe angalau na taarifa za mwanzo ambazo ili kuzipata lazima uwe tapeli kwanza.
Bahati mbaya zaidi hamna sehemu ya kujifunza Hacking ukaelewa, utapata knowledge za juu juu tu kupitia videos za you tube au online courses.
Finally naweza sema kwamba
Stop living in the world of imagination, come to reality and make great
learning hacking is nothing but wastage of time , vinginevyo labda uwe na kipaji.
HahahaHacking si kazi rahisi kama tunavyoona kwenye sinema!