Marcovicsavic
Senior Member
- Nov 14, 2020
- 130
- 303
Ni kamali, kadi, na account kam hizo ni zile zilizo kua phished, so hata kama uta inunua make sure unaitumia in highes level of anonymous, wasije kukulilia, bit hua zina credit na zinapiga kazi freshHivi mkuu zile paypall account na mastercard za darkweb zile ambazo zipo credited ksbisa maana kuna moja nimeona ina 5000Usd inauzwa 200usd hivi ziko legit
Kwa mwenye kujua Jamani
Kwa mfamo natumia labda disposable email za proton nikimaliza nikishanunua nahamisha kwemye my really paypol account au really mastercard bado itazunguaNi kamali, kadi, na account kam hizo ni zile zilizo kua phished, so hata kama uta inunua make sure unaitumia in highes level of anonymous, wasije kukulilia, bit hua zina credit na zinapiga kazi fresh
Yani hizo tumia kufanya untraceable payment, eg promotion ya fb, isije uka involve chochote kinacho husisha identity yako, au ufnye utakatishaji. Kwa mfanoKwa mfamo natumia labda disposable email za proton nikimaliza nikishanunua nahamisha kwemye my really paypol account au really mastercard bado itazungua
Miaka 3 🤔🤔 inategemea na kichwa chako banaKabla hujawa hacker kwanza kua programmer, ujue vema network na jinsi software zina operate, baada ya hapo ndio uanze kujifunza security , ukisha kua master wa hivyo vitu ndio unaweza kuanza kujifinza kupenetrate kwa hizo system,
Unaweza kuqnza na simple penetration kwa method za kawaida kama injection kwenye loopholes,
Join online simulation za hach challenge zita kupa experience , ukiiva utakua sasa unaweza kuanza kingia kwenye vi system uchwara kama vya vyuoni hapa Tz, maana bongo chuo chenye mfumo wa maana ni Kimoja vingine naingia navyotaka
Ukiivya huko anza kudela na system za kati, unaweza anza na makampuni ya kawaida eg, hawa jamii forum(kwa bongo wana jitahidi)
Then nenda mbele kulingana umavyo fanikiwa
Kwa makadirio hii process inaweza ikakugharimu mpaka miaa mi 3
Hakuna kichwa,programing is all about how do it na sio how u understand it, yani more unafanya ndio more unajua, miaka mitatu ndio minimum inaweza kua hata 7Miaka 3 [emoji848][emoji848] inategemea na kichwa chako bana
Ok sawa mkuu.Hakuna kichwa,programing is all about how do it na sio how u understand it, yani more unafanya ndio more unajua, miaka mitatu ndio minimum inaweza kua hata 7
Nakubaliana na wewe. Sina lengo la kuifanya iwe bidhaa. Lengo langu langu ninataka kujua kama parameters zangu ntakazo weka nitafanikiwa. Ni kwa lengo la kujifunza not otherwiseUkijipa challenge, basi hakikisha unacho ji challenge ni relevant, wangapi wanatumia Bot za tele, nani anaweza kumpanmtoto wake sim yenye telegram, ni long process mtu kumpeleka, tele pia ajue bot, tena mtoto, so as deep as it goes, the less relevant it become,
Ikiwa web app, au mobile App ina make sense zaidi, Think again,
OkyNakubaliana na wewe. Sina lengo la kuifanya iwe bidhaa. Lengo langu langu ninataka kujua kama parameters zangu ntakazo weka nitafanikiwa. Ni kwa lengo la kujifunza not otherwise
Ndio bila shaka kabisa yoyote ukiweza agiza tu mojawapo ondoa shaka Mzee...nunua hata croned card zileHivi mkuu zile paypall account na mastercard za darkweb zile ambazo zipo credited ksbisa maana kuna moja nimeona ina 5000Usd inauzwa 200usd hivi ziko legit
Kwa mwenye kujua Jamani
Shukran mkuu croned account mkuu hizo interpol watanidaka na CIA 🤣🤣Ndio bila shaka kabisa yoyote ukiweza agiza tu mojawapo ondoa shaka Mzee...nunua hata croned card zile
Mkuu darkweb Mimi pia ni member huko ila asilimia kubwa wamekaa kibiashara yaani hufundishwi kuhack ila una hire a hacker yaani wapo kifedha zaidi Hawa jamaaHuwezi kumaster Kwa kusoma utube tutorial hizo ama course za vyuo uchwara hapa Bongo....soma nje ya nchi,pia kuwa connected na darkweb...ingekuwa rahisi ningeshare kitu hapa ubakie mdomo wazi jinsi darkweb inavyofanya kazi na the way watu wanavyotumia technology..wanamifumo Hadi ya kubadili matokeo ya education academic...kiufupi kuna mambo mengi sana
Pia Kwa kuweza kuacces dark web lazima utumie Tor browser (ONION) app pia cyo kutumia tu huna connection na link za kukupeleka huko wewe Bado pia hakuna kitu...
HACKING ni dubwana Pana sana sana sana....kuliko kawaida..Over.
Asante mkuuMkuu nakuongeza pia Vitabu Kajichimbie navyo hivi umalize kama ukiweza hii library kuntu sana...NAKUHAKIKISHIA UKIMALIZA HIVI LAZMA UTAKUWA EXPERT....mkuu ukimaliza hivi vyote ukishindwa kufanya MySQL injection hata ya Milard ayo 🤣🤣🤣 utakuwa hauko serious
View attachment 2741375
View attachment 2741379
Mkuu tushirikishane kidogo hapa hivi dark web wewe inakunufaishaje? maana Mimi huwa naenda lakini sioni njia ya kuvuta mpungaHata Kwa cm Tor browser (Onion) unaingia vzr sana na upush madeal harama vzr sana ni wewe tu ,uwe na link tu inayokupeleka huko ,kama hutojali nikutumie uone mambo yalivyo...Hii Dunia wengine hawaishi wanadindikiza
Kuna yule dogo ana miaka nane tu well known young hacker , alijifunza lini hizo programmingHakuna kichwa,programing is all about how do it na sio how u understand it, yani more unafanya ndio more unajua, miaka mitatu ndio minimum inaweza kua hata 7
Mkuu avatar yako yule mtu kule nyuma,ni shetani au??Mimi sijaulizia kuhusu kizazi,ukoo au nchi...nmeuliza Wewe kama Wewe utapata faida gani?
🥰🤩😍🤣😂😅Wakuu
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.
Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?
Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh!
Nikawa najifunza kwa kuangalia video tutorials za you tube.
Then nikajaribu kufuatilia nikaambiwa siwezi kuwa hacker bila kujifunza networking, nikajifunza mwenyewe Mambo ya PAN, WAN, na LAN na jinsi network inavyofanta kazi, lakini haikuishia hapo nikaambiwa nijifunze kutumia kali Linux nikajifunza.
Nilistop kujifunza theoretically baada ya kuambiwa "
don't learn to hack , hack to learn"
any way nilichokuja kugundua ni kwamba hacking sio vile nilidhani kilichonikatisha tamaa
Hacking sio maajabu Kama nilivyodhani , hata kupata password kwa kutumia Red Hawk kwa mfano inatumia njia ya ku guess Kila password yaani una run crack kwa mda mrefu hata wiki kabisa mpaka pale itakapopatia password ya kweli.
Kumbe huwezi kuhack laini ya mtu na kuvuta mpunga m pesa Ila kwa njia moja tu inayoitwa sim card cloning ambayo inahitajika physical access hivyo huwezi kufanya Hilo Jambo remotely labda umshawishi mtu akupe baadhi ya taarifa.
Kumbe huwezi kuhack account ya bank ya mtu kwa siku moja au mbili , ni Jambo la mwezi au miezi na inahitaji uwe angalau na taarifa za mwanzo ambazo ili kuzipata lazima uwe tapeli kwanza.
Bahati mbaya zaidi hamna sehemu ya kujifunza Hacking ukaelewa, utapata knowledge za juu juu tu kupitia videos za you tube au online courses.
Finally naweza sema kwamba
Stop living in the world of imagination, come to reality and make great
learning hacking is nothing but wastage of time , vinginevyo labda uwe na kipaji.
Naomba darasaHacking ni kipaji📌 sio kusomea