Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

hio sio hatua wala ya kujifunza hacking, kwa wanaosoma kama professional yao mfano wanafunzi wa IT, cyber security, computer Engineering nk. hivyo vinakuwa kama basic skill yao, mbali na kusoma na vingine vingi , hata mmoja kati yao ni ngumu kupata ni hacker
 
Hacking in reality ni ngumu sana. Unaweza vipi kuhack mifumo iliyoundwa na wajuvi wenye elimu bobevu, raslimali na access ya miundombinu mingi kuliko wewe?

Mfano;

NMB Bank wameleta BOT inahitwa RAFIKI. Hicho kibot kinatoa huduma kwa wateja. Lakini hawakiendeshi wao, kiko chini ya kampuni kubwa META. Sasa utaweza vipi kuhack hapo?

Maarifa yenyewe ya jinsi ya kuhack tunawategemea wao.
 
Kuwa hacker kwanza unahitaji kuwa na knowledge nzuri ya computer engineering. Hii foundation utaipata baada ya kufanya degree ya computer engineering.

Ukisha maliza degree yako ya computer engineering kama umesoma na kuelewa vizuri, utapata fedha za kutosha kuendesha maisha yako... na utajikuta huna haja ya kuwa hacker.

Ni hayo tu
 
Mkuu watu huwa wanahisi hacking ni kitu rahisi kama kujifunza photoshop.
Heshima kwa mahacker wanaohack mifumo tena wengine wanaingia na kuchukua wanachochukua na wanasepa bila hata wahusika kuwa na taarifa.
Kuna wale wafilipimo walikuwa wachukue almost one billion US dollar kwenye bank ya bangkok, sema Mungu alikuwa upande wa bank wakase0a na just like 300 milions. Na hapo walicheza na mfumo wa swift
 
Naomba kujua ulifanikishaje kuingia dark web mkuu

Dark web unaingia kwa lengo maalumu, kwa links,

kuingia unatakiwa kuwa na browser ya Tor, na orbot vpn kama unatumia simu,
then Anza kuwasha orbot afu ingia kwenye tor , andika dark web links.
Kama unataka ku navigate dark web marketplaces unahitaji uelewa kidogo kuhusiana na maswala ya IT pia maana utapewa kazi ya kutofautisha na kuchambua links, then kubaini ambayo inaweza kuwa ni kwa phishing,
pia unaweza kupewa task nyingine yoyote lakini sio kirahisi kabisa.

Kuna search engines kama ahmia , duckduckgo n.k. unaweza kuzitumia pia ku search jambo unalotaka mfano, counterfeit money , guns, bank credentials etc.

Pia kuna hidden wiki ambayo ni nzuri kwa beginners kutembelea dark web, unachagua tu kipengele ambacho ungependa kutembelea.

Generally dark web ukienda bila lengo lolote hutaelewa chochote maana watu wanaenda kwa invitation links ambazo wanapeana wenyewe ili wawasiliane kwa ajili ya kufanya biashara zao ambazo ni ngumu kwa kutumia surface webs.
 

Wisdom and well said

Computer Science ni kama medicine tu, Kuna general medicine na specialisation / super speciality kama Gynae/Obs, Psychiatry, Internal medicine, Orthopaedic and Trauma, Opthalmology, Surgery etc.

Ni ngumu mno mtu mmoja kuwa na specialisation/super speciality zote at the same time. Computer Science pia Ni muhimu ku-specialize badala ya kuwa na haphazard partial knowledge
 
nadhani umejifunza lakini haujajua unatumia wapi
 
Hacker ni mtu smart sana tofauti na wewe ,looks like a, script kiddie hahaha
 
UNatumia oparating system gani ?
 
Kwanza kuwa hacker inabidi uwe mpenzi kabisa wa mambo ya teknlojia hii,mbali na kujifunza darsani,ujifunze kwa watu wengine,uulize kwa watu wanafanyaje,usisahau zaidi,kuwa hacker ni kipaji kama vipaji vingine.
Ukishindwa kuhack kitu fulani,basi kuna kingine kingine utahack kwa urahisi sana kama unanawa mikono ili ule
 
Usikate tamaa, komaa, kwenye tech kujifunza hakutaisha, uvivu hautakiwi kuwa sehemu yako, anza na vitu rahisi, interest itakuwa mpaka kwenye mambo makubwa kama Cyber Security, msingi muhimu kwa kila jambo.

Learn practically, not theoretically, kusoma na kutenda, practice iwe kwenye vitu halisi.
 
Binafsi napenda hacking..but nilikaa nikajiuliza niende nikalost miaka yangu 4 au 3 kujifunza wizii ..maana mtu alie soma cyber njia pekee ya kujiajiki ni kuwa mwizi wa kimtandao. But soon I am going to Block some hacker because I extremely dislike cyber crimes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…