Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

Ukalost miaka .... Hapa ulitaka kuandika nini?
 

We ni mpumbavu kweli,mm
 
understand how a system works rather than just using it.
 
Kama bado unahitaji kujifunza na ku practice, nitafute. Lakini sio bule utatakiwa kulipa.

N:B Nitakufundisha kuwa penetration tester ( nakujengea msingi na kukuonesha njia tu ) yatayobaki utajiongeza kama kweli una passion ya hicho jambo

Wasifu wangu na maeneo yangu ya kiutendaji ;

Professional Penetration Tester
Msc in Cyber Security and Digital Forensics

Kwa sasa nafanya project ya kujitegemea inayohusu ( kukabiliana na mashambulizi ya kimtandao katika upande wa network) Natumia AI ( ML, DL ) cryptography, network technology etc.. Karibu.

But sio free.
Na njia ya darasa ni online tu.
 
Hongera mkuu, shukrani sana
 
Kuhusu MUST upotoshaji mkuu,ni Wana walikuwa wanapikwa kwa ajili ya kazi zao, nadhani walisambazwa vyuo kibao siyo MUST Tu.
 
Hacking si kazi rahisi kama tunavyoona kwenye sinema!
Miaka kadhaa iliyopita nilisha wahi kuwa na wazo kama hilo la kujifunza huo udukuzi wa kimtandao ila nikakutana na jamaa mmoja ambaye ni mbobezi kwenye sector ya Networking na programing alinicheka sana. AKANIAMBIA nisifananishe maisha ya kwenye sinema na uhalisia kama navyoona mambo mengine kwenye sinema ya kufikirika basi hata hilo nalo la Hacking nalo limeigizwa pia halina uhalisia.

Aliniambia kuwa ukisikia mtu ni hacker ujue mtu huyo mara nyingi anakua ni mbobezi katika mfumo huo ambao anaweza kuhack. Na mara nyingi huwa mtu ambaye anaweza kutengeneza huo mfumo from scratch to the top so inamuwia rahisi kujua nini cha kufanya.
Pia mtu hawezi kufanya hacking kayika kila mfumo bali kwa mifumo michache ambayo inakuwa na weak security na anaweza leo akaingia ila kesho ikamgomea kutokana na security updates zinazofanywa na mifumo hasa ya pesa au servers zinazotunza data muhimu.

Aliniambia kama natamani kufika hiyo level nichague nachotaka kuhack then nijifunze kukiunda from scratch to the top then nijifunze mifumo yake ya ulinzi inavyofanya kazi na weakness zake baada ya hapo nijue weak spot ipo wapi na nitawezaje kuingia bila kuwa ditected na wenye mfumo..
Kwa yeye aliniambia ni kazi inayo nichukua hadi miaka 5 katika hiyo system ambayo nataka kuhack.. ndipo naweza kufanya hata jaribio tu!!

Nikaona bora nitafute hela halali !!!
 
Hacking is an art that requires you to be creative in finding alternative solutions instead of conventional methods.
 
Aiseee ni wewe tu ndio umeongea kitaaluma
Mambo Nmap, WireShark, Nessus na Angry IP
 
Kwa Tanzania nawajua wawili tu.....
Ambao wote walikuwa walimu mlimani
..
Department of mathematics and computer science,actually ndio waliokuja na wazo lililozaa UCC....hata hivyo SIRKAL imewachukua....inafanya nao kazi.....mwingine alikuwa ni mholanzi kwa sasa sijui yuko wapi.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…