Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

Hivi hawakudakwa hadi leo!
 
Kuna vitu hatujifunzi ukubwani.
At lease mtu asivuke umri gani mkuu, je kama hajafkisha labda 25 umri wake hadi afkishe miaka 30 inaweza kutosha kujifunza zaidi computer ?
Tuseme labda kachelewa kwasababu ya mazingira yanayomzunguka lakini shauku na ujuzi anao kidogo
 
Mwingine anazaliwa kitu ipo kwenye damu akijifunza kidogo tu imeisha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…