PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Hivi hawakudakwa hadi leo!Mkuu watu huwa wanahisi hacking ni kitu rahisi kama kujifunza photoshop.
Heshima kwa mahacker wanaohack mifumo tena wengine wanaingia na kuchukua wanachochukua na wanasepa bila hata wahusika kuwa na taarifa.
Kuna wale wafilipimo walikuwa wachukue almost one billion US dollar kwenye bank ya bangkok, sema Mungu alikuwa upande wa bank wakase0a na just like 300 milions. Na hapo walicheza na mfumo wa swift