Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

Nimekuelewa mkuu, Asante sana
 
Nimekuelewa mkuu, Asante sana
Ushauri wangu, usikate tamaa mkuu!
Jifunze mdogo mdogo, huwezi ingilia web application.. ikiwa hujui namna inavyokuwa delevoped na na namna inavyo run behind the scene.. namvyosema uijue Web App sio lazima ujue ku code.. jua structure yake in and out.. narudia tena sio lazima ujue ku code.. kutokea hapo anza kuwaza namna gasi ya ku bypass hizo structure.. ukishaweza tu.. basi umepiga hatua.. hii ina apply kwenye maeneo mengine pia.. Usikate tamaa mzee baba.. hakuna jepesi kwenye maisha bila uvumilivu kutoa ngumu
 
Mbona ile miamba ya korea kaskazin kiduku anawatumia kumwibia hela za kuendesha nchi, mambo sio kama ulivoelezea sema wewe ni kilaza, lazarus wanakwiba mamilioni ya dolari kila siku wewe unakuja na ngonjera zako hapa, hzo kazi sio za vilaza ni za watu na akili zao, unawajua kidon wewe? UNATAKA KUJIFUNZA HACKING UKIWA MZEE UTAWEZA KWELI, HZO KAZI WANAANZA KUFUNDISHWA WATOTO WAKIWA NA MIAKA SI ZAID YA KUMI.
 


Wewe ni mjinga kweli, kabisa ni mpumbavu, wew ni hasara kwa Taifa, familia na jamii ya wa Tanzania.
 

Sawa, mkuu Wacha nianze kuifutilia kiundani zaidi hiyo web application, few months later nitakuja na feedback
 
Kwahiyo mkuu Mimi ni kilaza?
 
nyi mnatamani kuwa advanced hackers lakini minatamani niwe mgunduzi wakitu flani ili nikifa jina langu lisi sahaulike dunia

nyi mnatamani kuwa advanced hackers lakini minatamani niwe mgunduzi wakitu flani ili nikifa jina langu lisi sahaulike duniani
Kuwa mgunduzi sio Jambo la kujipangia
 
Huwezi kujifunza kuwa mdukuzi ili uwe mdukuzi, hao wanaofanya hvy n wale waliopata hy elimu kwa njia njema kabisa ila kwa bahati mbaya au nzuri wakaona mwanya wa kuingia kwenye system na kufanya udukuzi, mara nyingi mdukuzi utamkuta alikuwa anafanya kazi kuhusu security system ya kampuni flani.
 
Mie nitatofautiana na wengine kwenye hili.

Kijana ulikua hujifunzi "Hacking".... Ulitumia mda wako vizuri kujifunza "Wizi" bahati nzuri ama mbaya hukufanikiwa.

Hacking... Ni ile hali ya ku-gaining of unauthorized access to data in a system or computer. So hizo data ukiamua kuzitumia katika Wizi kama ulivyokua umepania au jambo lingine lolote hiyo inakua ni juu yako na nia yako.

Unakua umetoka kwenye Main "Subject" umeanza kutumia the knowledge obtained kufanya "Uhalifu".
 
nahisi kipaji ninacho Kama nilijifunza programming mwenyewe, Kali Linux pia my typing speed is getting very higher siku Hadi siku.
nadhani nilichokoswa ni exposure tu ya vifaa vya kimtandao nilipokuwa Bado mdogo na elimu ya school ilinikeep busy sana
Acha uongo kama una kipaji kwanini usitumie uwezo wako kutengeneza app au programs ukaingiza kipato halali. Zama hizi technolojia inalipa sana
 
The more you type the more you get better. Mimi naweza kusema ni kati ya watu wenye typing speed kubwa sana maana naweza kutype more than 53 words per minute na bila kutazama keyboard.
Imekuja automatically tu.

Unaanzaje nimechoka kudonoa donoa asee,kila nikitaka ku type na cheki keyboard.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…