Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

chuo cha MUST - MBEYA kawaida iyo.

kuna jamaa angu alikua anadaiwa ada around 800k af bado siku mbili tu wafanye mtiani ikabidi amtafute mwamba akamlipa 250k akahack system ikaclear deni akafanya mitiani kama kawaida.

iyo ya matokeo ni kawaida, nakumbuka mwaka juzi chuoni kwetu walihack wahuni wakajitoa kwenye supp ila waligundulika wakadisco.
Una uhakika gani kuwa ilikuwa hacked?
 
Wakuu
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.

Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?

Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh!

Nikawa najifunza kwa kuangalia video tutorials za you tube.
Then nikajaribu kufuatilia nikaambiwa siwezi kuwa hacker bila kujifunza networking, nikajifunza mwenyewe Mambo ya PAN, WAN, na LAN na jinsi network inavyofanta kazi, lakini haikuishia hapo nikaambiwa nijifunze kutumia kali Linux nikajifunza.

Nilistop kujifunza theoretically baada ya kuambiwa "

don't learn to hack , hack to learn"​

any way nilichokuja kugundua ni kwamba hacking sio vile nilidhani kilichonikatisha tamaa

Hacking sio maajabu Kama nilivyodhani , hata kupata password kwa kutumia Red Hawk kwa mfano inatumia njia ya ku guess Kila password yaani una run crack kwa mda mrefu hata wiki kabisa mpaka pale itakapopatia password ya kweli.

Kumbe huwezi kuhack laini ya mtu na kuvuta mpunga m pesa Ila kwa njia moja tu inayoitwa sim card cloning ambayo inahitajika physical access hivyo huwezi kufanya Hilo Jambo remotely labda umshawishi mtu akupe baadhi ya taarifa.

Kumbe huwezi kuhack account ya bank ya mtu kwa siku moja au mbili , ni Jambo la mwezi au miezi na inahitaji uwe angalau na taarifa za mwanzo ambazo ili kuzipata lazima uwe tapeli kwanza.

Bahati mbaya zaidi hamna sehemu ya kujifunza Hacking ukaelewa, utapata knowledge za juu juu tu kupitia videos za you tube au online courses.

Finally naweza sema kwamba

Stop living in the world of imagination, come to reality and make great​

learning hacking is nothing but wastage of time , vinginevyo labda uwe na kipaji.
Bongo ku hack kwa njia zako hutoweza mkuu hizo waachie watu wa havard na wenye vipaj vyao , kawe tapeli tu zile za tuma kwa namba hii hvyo hutoboi
 
chuo cha MUST - MBEYA kawaida iyo.

kuna jamaa angu alikua anadaiwa ada around 800k af bado siku mbili tu wafanye mtiani ikabidi amtafute mwamba akamlipa 250k akahack system ikaclear deni akafanya mitiani kama kawaida.

iyo ya matokeo ni kawaida, nakumbuka mwaka juzi chuoni kwetu walihack wahuni wakajitoa kwenye supp ila waligundulika wakadisco.
Acha Hzo wewe!! Kma hujui kitu usi type watto wa must na hata vyuo vingne ndo ilikuwa michezo yetu kucheza na accountant wa shule au chuo ada inakatwa pande la accountant na la shule vitu vinanyooka Ku hack sio matako mzee kila mtu lazma awe nayo
 
Wakuu
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.

Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?

Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh!

Nikawa najifunza kwa kuangalia video tutorials za you tube.
Then nikajaribu kufuatilia nikaambiwa siwezi kuwa hacker bila kujifunza networking, nikajifunza mwenyewe Mambo ya PAN, WAN, na LAN na jinsi network inavyofanta kazi, lakini haikuishia hapo nikaambiwa nijifunze kutumia kali Linux nikajifunza.

Nilistop kujifunza theoretically baada ya kuambiwa "

don't learn to hack , hack to learn"​

any way nilichokuja kugundua ni kwamba hacking sio vile nilidhani kilichonikatisha tamaa

Hacking sio maajabu Kama nilivyodhani , hata kupata password kwa kutumia Red Hawk kwa mfano inatumia njia ya ku guess Kila password yaani una run crack kwa mda mrefu hata wiki kabisa mpaka pale itakapopatia password ya kweli.

Kumbe huwezi kuhack laini ya mtu na kuvuta mpunga m pesa Ila kwa njia moja tu inayoitwa sim card cloning ambayo inahitajika physical access hivyo huwezi kufanya Hilo Jambo remotely labda umshawishi mtu akupe baadhi ya taarifa.

Kumbe huwezi kuhack account ya bank ya mtu kwa siku moja au mbili , ni Jambo la mwezi au miezi na inahitaji uwe angalau na taarifa za mwanzo ambazo ili kuzipata lazima uwe tapeli kwanza.

Bahati mbaya zaidi hamna sehemu ya kujifunza Hacking ukaelewa, utapata knowledge za juu juu tu kupitia videos za you tube au online courses.

Finally naweza sema kwamba

Stop living in the world of imagination, come to reality and make great​

learning hacking is nothing but wastage of time , vinginevyo labda uwe na kipaji.
CyberSecurity na domains zake zote ni industry ya wanaume , ni ligi ya mabingwa, sio kila timu inaweza kucheza. Ndo maana duniani kuna zaidi ya open job positions 3,000,000 kwenye cybersecurity ambazo hazijazibwa kwa sabb ni profession inayohitaji akili nyingi pamoja na persistence , combination ya qualities ambazo wengi hawana. So unapokata tamaa kwenye cybersecurity ni either hauna kimoja wapo au vyote!
 
Nimeshindwa nikujibu nini mkuu ila punguza ujuaji
Huo ndo ukww
mkuu, sio kweli kwamba hacking ni ngumu isipokuwa unajua kila siku nasema field ya IT ni Kama daktari unataks uwe specialized wapi? Hata Kama we hacker kamwe hutoweza kudukua kila mfumo,chagua sehem Moja komaa

Ili uwe hacker inabidi uwe na skills tofauti tofauti haitaji uwe konki programer isipokuwa utahitaji uwe na at least concept ya programming Ili uweze kusoma code za aina mbali mbali

Mfano kampuni huwaga yanaingia contract na third party ambapo huwaga wanawatumia kuwafanyia au ku find vurnebilty katika system unakuta hayo makampuni yako specialized mfano app penetrater, Websites e.t.c

kinachotokea hizi small company haziwezi ku afford mapesa mengi kwenye hizo testing kinachotekea wanatumia antivirus ambapo inakuwa inakupa 40% ya security ya kutokana na jinsi antivirus inavyo fanya kazi

Katika system yoyote Ile unayoijua wewe Kuna vitu 3
1. Kuna control
2.Data plan
3.Managament

Sas ikitokea contracter ametafuta vurnebilty katika Software level jua sasa hacker atatumia hardware vurnebilty kupata access kwenye system kwa watu wa malware analysis watakuwa wananielewa,

mfano mzuri kwa watumiaji wa **** bank app ukiangalia Ile app Iko well protected kwa sababu Kuna benki Moja mteja aliibiwa pesa kijinga sana ilidukuliwa kupitia RAM ya simu [emoji1787][emoji1787] Unajua taarifa nyingi lazima iwe hold katik RAM au ipitie hapo mfano ukitoka katika app yoyote si unaweza kurudi na undelee iliposhia sas Ile ni vurnebilty ambapo memory inakuwa Kama bridge yakupata taarifa watu waliweza kupata username password pamoja na OTP ambapo meseji ilifutwa na mpunga ukatolewa sas sitaki niileze sana

Pia hapa hapa tz Kuna benki ilidukuliwa fedha ikaibwa mpunga short story ilikuwa ivi Kuna kampuni ya nje Ilituma document kwa Ile benki kwa ajili ya malipo kumbe katika Ile kampuni ilikuwa ishakuwa affected na malware na walikuwa wako under surveillance, ndani ya doc ambayo mfanya kazi wa benki alitumiwa behind kulikuwa na malware Iko binded user alivyo click akawa amerun command ya ku overload processor akapiga simu IT akaja admin akaingia yeye wow hakujua Kama ametoa password kulikuwa na live keylogger imetegwa baada ya admin kuondoka watu Waka install VNC, user wakachunguzwa akajulikana domain admin baaadae ikadukuliwa Domain controller ikawa Kwisha kazi yaooo watu wakavuta mpunga kilaini kwa ufupi tu..!

Mkuu Nina scenario nyingi sana ambazo zimetokea Tz ila changamoto ya TZ kwenye field ya security bado tuko nyuma kidogo...!

Ila ukitaka kujua Kama kujua tuko vizuri. Tz itategemea uko wapi na maeneo gani..! jamani Tanzania kuna ma IT wako konkiii msidharau kwa sababu hujawahi kuingia kwenye 18 zao Hawa wanaokuwa wamepata sijui access ya message na calls ya mpenzi wake wanajiita eti nao wadukuzi ndio wanao sababisha fani ya IT inadharau ulika shenzi kabisa ndio maana ukimpa mzigo haliisi anashindwa

Hacking sio ngumu Wala nyepesi Ila itagemea unataka ukomae eneo lipi ivyo ukitaka sijui web wewe, application wewe, sijui kutengemeza virus au trojan wew hutokuja kufanikiwa kamwe...!

Note:Niliyoandika hapa ni mawazo yangu tu na mtizamo wangu , sishauri watu kutumia maarifa yako vibaya sitahusika kwa lolote kwa wizi au uharibufu wowote wa njia nilizo elezea hapo juu....! Sijawahi kuiba au kuhusika kwa Chochote kile Mimi ni Raia mwema ninayefatisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
Acha uoga kka😂😄
 
Hacking kwa Bongo ni kuongopeana tu hata hizi account zetu za FB zina hakiwa sio kwasababu ya mautundu incredible

Zipo baadhi ya site zinakuruhusu utengenezw fake account kisha zina generate link.

Hiyo link ukiituma kwenye social media kila user atayeigusa basi login info zote zinatumwa kwenye ile fake account yako. Ndio haoo unaanza kubadilisha na password pamoja na email.

Kama ulikuwa unafuatilia kesi ya Mbowe utakumbuka maelezo ya afande Ndowo ambaye huyu alikuwa ni shahidi upande wa serikali kama mdukuzi.

Angalia namna ya udukuzi wake alioufanya.

Alipora simu ya Kingai, akapora simu ya Adamoo. Kisha akaingia nazo room.

Huko kuna device inaitwa Cellibrete ya kiisrael hiyo device ili ifanye extraction ni lazima simu iwe on.

Sasa kama tu serikali ambayo inafanya kila kitu kuhakikisha swala la usalama linakuwa poa lakini imeshindwa kuwa na watu muhimu kama hackers wakufanya vitu remotely unafikiri ni rahisi kwa watu wengine?
 
upo sahihi mkuu , lakini technologia ya computer ni pana Sana , kufahamu exactly mfumo unafanyaje kazi inakupaswa angalau uwe na degree ya computer engineering plus miaka mingne ya kujifunza mwenyewe so ni upotevu wa mda
Mkuu Kuna watu wangapi Wana hizo degree wamefanya maajabu gani? Ili uwe mtamu inabidi ufikirie nje ya box hii kitu haitaji degree kiongozi Kama nakosea nirekebishe
 
The more you type the more you get better. Mimi naweza kusema ni kati ya watu wenye typing speed kubwa sana maana naweza kutype more than 53 words per minute na bila kutazama keyboard.
Imekuja automatically tu.
Mkuu itagetemea na keyboard layout uliyozoea mfano kama Mimi nimezoea USA Niko chapa Atari ukiniletea British Arabic au french layout nambwela
 
Wakuu
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.

Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?

Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh!

Nikawa najifunza kwa kuangalia video tutorials za you tube.
Then nikajaribu kufuatilia nikaambiwa siwezi kuwa hacker bila kujifunza networking, nikajifunza mwenyewe Mambo ya PAN, WAN, na LAN na jinsi network inavyofanta kazi, lakini haikuishia hapo nikaambiwa nijifunze kutumia kali Linux nikajifunza.

Nilistop kujifunza theoretically baada ya kuambiwa "

don't learn to hack , hack to learn"​

any way nilichokuja kugundua ni kwamba hacking sio vile nilidhani kilichonikatisha tamaa

Hacking sio maajabu Kama nilivyodhani , hata kupata password kwa kutumia Red Hawk kwa mfano inatumia njia ya ku guess Kila password yaani una run crack kwa mda mrefu hata wiki kabisa mpaka pale itakapopatia password ya kweli.

Kumbe huwezi kuhack laini ya mtu na kuvuta mpunga m pesa Ila kwa njia moja tu inayoitwa sim card cloning ambayo inahitajika physical access hivyo huwezi kufanya Hilo Jambo remotely labda umshawishi mtu akupe baadhi ya taarifa.

Kumbe huwezi kuhack account ya bank ya mtu kwa siku moja au mbili , ni Jambo la mwezi au miezi na inahitaji uwe angalau na taarifa za mwanzo ambazo ili kuzipata lazima uwe tapeli kwanza.

Bahati mbaya zaidi hamna sehemu ya kujifunza Hacking ukaelewa, utapata knowledge za juu juu tu kupitia videos za you tube au online courses.

Finally naweza sema kwamba

Stop living in the world of imagination, come to reality and make great​

learning hacking is nothing but wastage of time , vinginevyo labda uwe na kipaji.
huwezi kuwa hacker ukiwa na njaa zako ka hizo...we ukibaka unakufaa, hackers ni magenius wamezaliwa na wamekulia wakichezea computer
 
CyberSecurity na domains zake zote ni industry ya wanaume , ni ligi ya mabingwa, sio kila timu inaweza kucheza. Ndo maana duniani kuna zaidi ya open job positions 3,000,000 kwenye cybersecurity ambazo hazijazibwa kwa sabb ni profession inayohitaji akili nyingi pamoja na persistence , combination ya qualities ambazo wengi hawana. So unapokata tamaa kwenye cybersecurity ni either hauna kimoja wapo au vyote!
.
 
Mkuu itagetemea na keyboard layout uliyozoea mfano kama Mimi nimezoea USA Niko chapa Atari ukiniletea British Arabic au french layout nambwela
Mkuu kama ushazoea kuchapa baada ya muda mfupi vdole vinazoea. Mimi keyborad nliyozoea ni QWERTY keyboard. Na pia ukiachilia mbali mpangilio wa kéys hata keyboard yenyewe ina matter. Ukibadilisha keyboard uliyozoea au computer utagundua speed itapungua kwa sku kadhaa mpaka utakapoizoea hyo keyboard mpya.
Kuna kipindi lapto ilisumbua keyboard, baadhi ya keys zikawa hazifanyi. Nikaimap upya zile keys ambazo hazifanyi ni kaziassign new keys. Nilipata shda siku za mwanzo lakn nikaizoea. Sasa nliponunua laptop mpya isiyo na shda ilinichukua siku tatu kuzoea upya.
 
Wakuu
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.

Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?

Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh!

Nikawa najifunza kwa kuangalia video tutorials za you tube.
Then nikajaribu kufuatilia nikaambiwa siwezi kuwa hacker bila kujifunza networking, nikajifunza mwenyewe Mambo ya PAN, WAN, na LAN na jinsi network inavyofanta kazi, lakini haikuishia hapo nikaambiwa nijifunze kutumia kali Linux nikajifunza.

Nilistop kujifunza theoretically baada ya kuambiwa "

don't learn to hack , hack to learn"​

any way nilichokuja kugundua ni kwamba hacking sio vile nilidhani kilichonikatisha tamaa

Hacking sio maajabu Kama nilivyodhani , hata kupata password kwa kutumia Red Hawk kwa mfano inatumia njia ya ku guess Kila password yaani una run crack kwa mda mrefu hata wiki kabisa mpaka pale itakapopatia password ya kweli.

Kumbe huwezi kuhack laini ya mtu na kuvuta mpunga m pesa Ila kwa njia moja tu inayoitwa sim card cloning ambayo inahitajika physical access hivyo huwezi kufanya Hilo Jambo remotely labda umshawishi mtu akupe baadhi ya taarifa.

Kumbe huwezi kuhack account ya bank ya mtu kwa siku moja au mbili , ni Jambo la mwezi au miezi na inahitaji uwe angalau na taarifa za mwanzo ambazo ili kuzipata lazima uwe tapeli kwanza.

Bahati mbaya zaidi hamna sehemu ya kujifunza Hacking ukaelewa, utapata knowledge za juu juu tu kupitia videos za you tube au online courses.

Finally naweza sema kwamba

Stop living in the world of imagination, come to reality and make great​

learning hacking is nothing but wastage of time , vinginevyo labda uwe na kipaji.
hacking is not straight forward process
 
Back
Top Bottom