Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

Wakuu
Nilipokuwa nasikia kuhusu hackers na case zao za kuvuta mpunga kwenye bank mbalimbali ilinivutia Sana nikatamani kufanya hacking my career.

Nikaanza kufuatilia nitaanzaje?

Niliambiwa nijifunze programming nikajifunza python, namaliza python nikajifunza html, Bado cc na java duh!

Nikawa najifunza kwa kuangalia video tutorials za you tube.
Then nikajaribu kufuatilia nikaambiwa siwezi kuwa hacker bila kujifunza networking, nikajifunza mwenyewe Mambo ya PAN, WAN, na LAN na jinsi network inavyofanta kazi, lakini haikuishia hapo nikaambiwa nijifunze kutumia kali Linux nikajifunza.

Nilistop kujifunza theoretically baada ya kuambiwa "

don't learn to hack , hack to learn"​

any way nilichokuja kugundua ni kwamba hacking sio vile nilidhani kilichonikatisha tamaa

Hacking sio maajabu Kama nilivyodhani , hata kupata password kwa kutumia Red Hawk kwa mfano inatumia njia ya ku guess Kila password yaani una run crack kwa mda mrefu hata wiki kabisa mpaka pale itakapopatia password ya kweli.

Kumbe huwezi kuhack laini ya mtu na kuvuta mpunga m pesa Ila kwa njia moja tu inayoitwa sim card cloning ambayo inahitajika physical access hivyo huwezi kufanya Hilo Jambo remotely labda umshawishi mtu akupe baadhi ya taarifa.

Kumbe huwezi kuhack account ya bank ya mtu kwa siku moja au mbili , ni Jambo la mwezi au miezi na inahitaji uwe angalau na taarifa za mwanzo ambazo ili kuzipata lazima uwe tapeli kwanza.

Bahati mbaya zaidi hamna sehemu ya kujifunza Hacking ukaelewa, utapata knowledge za juu juu tu kupitia videos za you tube au online courses.

Finally naweza sema kwamba

Stop living in the world of imagination, come to reality and make great​

learning hacking is nothing but wastage of time , vinginevyo labda uwe na kipaji.
😂😂😂Pole
 
Email yangu nii, ip address yangu nii we nitakupa chochote hack na naishi naye. Ila ni zaidi ya mwezi hajaweza hata hack pc yangu wakati tunashare same network.
Huyo ni msomi ila hana utundu au ubunifu, na ndiyo maana ameshindwa kuku-hack. Ukifanya kitu hiki kwangu, pamoja u-novice wangu kwenye hacking, lazima uumie tu tena in just a matter of seconds
 
Back
Top Bottom