Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking. Ninachoki-experience sio nilichokidhania

Mjumbe acha umbea,au umetumwa kuneutralize hili jambo?umefikiria kwa kina kabla haujaweka maneno hapa?
 
Kakataliwa na nani wakati wengi wanamuunga mkono kuhusu msimamo wake juu ya sakata la mkataba tata wa bandari na dp world? Kumbuka kuwa hana chama kinachomuunga mkono waziwazi na chenye kujinasibisha na msimamo wake huo na haina hoja kwamba amekataliwa
 
Duh!...ina maana hiyo mifumo ya chuo ipo wazi mno mpaka inachezewa kirahisi hivyo ?
 
Hacking ingekua rahisi hivyo basi mabank,mitandao ya simu makampuni ya vingamuzi na tanesco ,gepg wangepata hasara sana hacking ni sawa na mtu afunge mlango na afiche funguo na uanze kuutafuta bila kujua uko wapi
 

Man hivyo ulivyosoma bado sana, hacking goes beyond
Kuna deeper knowledge sio basics

Hacking inahitaji uweza ku accumulate multiple knowledges halaf uwe fluent on it. Lakin experience iwe on top of that otherwise unapoteza time yako
 
Hack ni gain unauthorized access to data in a system ... Ili u-hack unatakiwa uisome system inavyofanya kazi then ndio utaweza kuona loophole zake so before hacking unatakiwa ufanye penetrating test ambayo mpaka u-succeed inachukua almost weeks, months or years bt depends na security ya system husika...

Ukiwa na connection ya hackers wa Pakistani uta-enjoy sana coz wao wanakupa michongo ambayo kwenye nchi yao hazifanyi kazi tena bt ukiipiga kwa hapa Tz Inakuwa valid na success rate ni 100%..... Endelea kujitafuta tajir utajipata tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…