Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.

Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
Ule ubabe wa kindezi mtaani muache , la sivyo huku mtaani mtakutana na ngumi jiwe + bisibisi na vipande vya NONDO muwe mnasepeshwa tu kwa Sir God
Wale mafala pale kawe waliokuwa wanavamia makazi ya raia na kuassault raia ndio definition ya upumbavu ulioko kwenye majeshi ya Tanzania
 
Hata mgambo aliye smart kichwani ataweza kukujibu.

Mpe tu hongera yake, hata akithibitisha bado haitokusaidia
 
Kumbe nawewe ni mwanamgambo
 
Namshukuru Mungu, leo nimepokea kamisheni yangu hapa TMA Monduli.

Nipo tayari sasa kulitumikia taifa.
sawa hongera sasa umepanda ngazi ya rushwa kubwa kubwa kidogo sio virushwa vya ukoplo na usergent. Komaa mzee uzifikie rushwa za ukanali Mungu akijalia upige madili ya marushwa makubwa ya umejor, mejor general hivyo yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…