Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

Hatimaye nimekuwa Luteni Usu leo

hamna msaada Kwa nchi zaidi ya vyeo vya uchawa ,mnalinda nini wakati wananchi wameporwa rasilimali zote?Nataka kufa Kwa ukweli wanajeshi wa watanzania ni hopeless
Unataka wafanye nini? Unataka wavunje kiapo!
 
Hongera kanali. Hio ni jazi ngunu japo watakubeza, wakitokea mgambo wa msumbiji wanawalaumu hamuwajibiki.
 
Ila nyinyi wanajeshi Munalipwa vizurii, Kila Kona ya Tanzania ukiuliza hiinyumba yanani utakuta ni ya mwanajeshi, yaani watu wanaoongoza kwakujenga Tanzania niwanajeshi, hivi munalipwaga shingap mishahara
 
Wewe huna maadili ya Kijeshi kabisa na huna kifua cha kukaa Jeshini. Hulali na jambo tayari ushakimbilia mtandaoni kuanika?? Watoto wa Single Mothers mna matatizo sana. Jifunze kuishi misingi ya kijeshi achana na kutafuta sifa kwa raia
Taarifa hizo ni "public", ila naungana na aliyesema mitandao haikufai unless umo humu kikazi. Kama haumo humu kikazi mitandao inaweza kukufanya ukasota saana huko jeshini. Kumbuka milango imefunguliwa kwako na uwezezekano hata wa kuwa mkuu wa majeshi sasa upo, lakini ukikaa humu mitandaoni utafikisha miaka 60 na nyota mbili au tatu na utaishia kulichukia jeshi. Kijana, "Keep Away from Mitandao".
 
Usimtishe bwana,mitandao Ina shida Gani?
 
Wewe huna maadili ya Kijeshi kabisa na huna kifua cha kukaa Jeshini. Hulali na jambo tayari ushakimbilia mtandaoni kuanika?? Watoto wa Single Mothers mna matatizo sana. Jifunze kuishi misingi ya kijeshi achana na kutafuta sifa kwa raia
Acha wivu pimbi ww
 
Back
Top Bottom