Hatimaye nimekuwa milionea, msaada wenu

Hatimaye nimekuwa milionea, msaada wenu

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Oya sio poa wadau...

Hatimae bwana mkubwa Fene baharia wa nchi kavu ktk harakat zangu za hapa na pale nimefanikiwa kuishika milioni moja rasmi [emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]

Natangaza kuwa milionea mpya. Akili yang kama haijakaa sawa bado. Nimeishika milioni leo

Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kupunguza hili wenge jf there are even experienced billionaires.

Maana ssahiv najikuta natembea kwa mikogo full mbwembwe sana. Nimebadilisha style ya kuongea naongea kwa utulivu sana mixer kimombo. Dah! Kumbe wenye hela hawafanyi makusudi

Nisaidieni wadau nipunguze hili wenge

600x600bb.jpg
 
Oya sio poa wadau......

Hatimae bwana mkubwa Fene baharia wa nchi kavu ktk harakat zangu za hapa na pale nimefanikiwa kuishika milioni moja rasmi[emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]

Natangaza kuwa milionea mpya

Akili yang kama haijakaa sawa bado..
Nimeishika milioni leo!!!

Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kupunguza hili wenge jf there are even experienced billionaires.

Maana ssahiv najikuta natembea kwa mikogo full mbwembwe sana,
Nimebadilisha style ya kuongea naongea kwa utulivu sana mixer kimombo
Dah! Kumbe wenye hela hawafanyi makusudi

Nisaidieni wadau nipunguze hili wengeView attachment 1910754
Dah tunatofautiana milioni moja natembea nayo kwenye Sox mwingine kwake ni achievement
 
Oya sio poa wadau......

Hatimae bwana mkubwa Fene baharia wa nchi kavu ktk harakat zangu za hapa na pale nimefanikiwa kuishika milioni moja rasmi[emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]

Natangaza kuwa milionea mpya

Akili yang kama haijakaa sawa bado..
Nimeishika milioni leo!!!

Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kupunguza hili wenge jf there are even experienced billionaires.

Maana ssahiv najikuta natembea kwa mikogo full mbwembwe sana,
Nimebadilisha style ya kuongea naongea kwa utulivu sana mixer kimombo
Dah! Kumbe wenye hela hawafanyi makusudi

Nisaidieni wadau nipunguze hili wengeView attachment 1910754
mkuu nakushauri iwekee fremu ukutani ukipunguza hata mia ww siyo millionea tena
 
Oya sio poa wadau......

Hatimae bwana mkubwa Fene baharia wa nchi kavu ktk harakat zangu za hapa na pale nimefanikiwa kuishika milioni moja rasmi[emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]

Natangaza kuwa milionea mpya

Akili yang kama haijakaa sawa bado..
Nimeishika milioni leo!!!

Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kupunguza hili wenge jf there are even experienced billionaires.

Maana ssahiv najikuta natembea kwa mikogo full mbwembwe sana,
Nimebadilisha style ya kuongea naongea kwa utulivu sana mixer kimombo
Dah! Kumbe wenye hela hawafanyi makusudi

Nisaidieni wadau nipunguze hili wengeView attachment 1910754
una miaka mingap mkuu?
 
Mambo yote Ni ubatili

Kubwa Ni ibada kumcha Mungu na kubeba msalaba wako Kama yesu
 
Atakuwa amekosea kiswahili kidogo, kwa sasa yeye ni mmiliki wa milioni, akiongeza zikafika 2, hapo sasa anaanza kuwa milionea, hivyo jichange upate hata 3 za kung'arisha mfuko😄
Uwii kumbe nina safari ndefu bado, mkuu umenivunja moyo😂😂
 
Back
Top Bottom