MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,345
- 3,570
Hongera mkuu,kweli kila mbuzi hula urefu wa kamba yake,ww waweza sema kidogo kumbe mwenzako kinamtosha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hautafuti girlfriend Mr Millionaire?
Daah kama utani lakini kweli, naelewa hii situationDah mwanangu naomba elfu 20 tu nikanunue chakula cha mwezi huu
Tafuta kwanza bodyguard...[emoji1787]Oya sio poa wadau......
Hatimae bwana mkubwa Fene baharia wa nchi kavu ktk harakat zangu za hapa na pale nimefanikiwa kuishika milioni moja rasmi[emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]
Natangaza kuwa milionea mpya
Akili yang kama haijakaa sawa bado..
Nimeishika milioni leo!!!
Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kupunguza hili wenge jf there are even experienced billionaires.
Maana ssahiv najikuta natembea kwa mikogo full mbwembwe sana,
Nimebadilisha style ya kuongea naongea kwa utulivu sana mixer kimombo
Dah! Kumbe wenye hela hawafanyi makusudi
Nisaidieni wadau nipunguze hili wengeView attachment 1910754
Sawa kaka. Nashukuru kwa kunijibuHapana Mkuu, akaunt itashuka