Hatimaye nimekuwa milionea, msaada wenu

Hatimaye nimekuwa milionea, msaada wenu

[emoji24][emoji24][emoji24] So sorry mkuu,
Am in limited situation for now, may be I will help u on another day[emoji120][emoji120]
Haina shida kabisa. Asante sana.
 
Atakuwa amekosea kiswahili kidogo, kwa sasa yeye ni mmiliki wa milioni, akiongeza zikafika 2, hapo sasa anaanza kuwa milionea, hivyo jichange upate hata 3 za kung'arisha mfuko[emoji1]
Hapana Mkuu, Jay z alitangazwa kuwa bilionea soon baada ya net worth yake kusoma 1 billion
 
Dah tunatofautiana milioni moja natembea nayo kwenye Sox mwingine kwake ni achievement
[emoji1787][emoji1787] Yeah if u want to be thankful look at your downside
 
Hapana Mkuu, Jay z alitangazwa kuwa bilionea soon baada ya net worth yake kusoma 1 billion
Si mambo ya namba tu mkuu, 0.8, 0.9, 1.0, 1.1 na kuendelea.

Bado tutakuhesabu kwenye moja kama uko kati ya 1 na 1.5, si ndio? Ingawa kwa kiswahili tutasema tu kuwa una zaidi ya moja. Sasa uhame kutoka zaidi ya nusu, ila chini/sawa na 1, tukuhesabu kwa makumi?
 
Hongera mkuu,kweli kila mbuzi hula urefu wa kamba yake,ww waweza sema kidogo kumbe mwenzako kinamtosha!
That's why, we have to be thankful for whatever we have
 
Si mambo ya namba tu mkuu, 0.8, 0.9, 1.0, 1.1 na kuendelea.

Bado tutakuhesabu kwenye moja kama uko kati ya 1 na 1.5, si ndio? Ingawa kwa kiswahili tutasema tu kuwa una zaidi ya moja. Sasa uhame kutoka zaidi ya nusu, ila chini/sawa na 1, tukuhesabu kwa makumi?
Nimekupata mkuu
 
Back
Top Bottom