Hatimaye nimekuwa milionea, msaada wenu

Hatimaye nimekuwa milionea, msaada wenu

Kaka nashukuru kwa kututia moyo vijana ambao bado hatujafikia kwenye mafanikio hayo,tutazidi kupambana kuhakikisha nchi yetu inakua na mamilionea wengi zaidi.
 
Oya sio poa wadau......

Hatimae bwana mkubwa Fene baharia wa nchi kavu ktk harakat zangu za hapa na pale nimefanikiwa kuishika milioni moja rasmi[emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]

Natangaza kuwa milionea mpya


Akili yang kama haijakaa sawa bado..
Nimeishika milioni leo!!!

Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kupunguza hili wenge jf there are even experienced billionaires.

Maana ssahiv najikuta natembea kwa mikogo full mbwembwe sana,
Nimebadilisha style ya kuongea naongea kwa utulivu sana mixer kimombo
Dah! Kumbe wenye hela hawafanyi makusudi

Nisaidieni wadau nipunguze hili wengeView attachment 1910754
😂😂kumbe wenye hela awafanyi makusudi
 
Back
Top Bottom