Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Oya sio poa wadau...
Hatimae bwana mkubwa Fene baharia wa nchi kavu ktk harakat zangu za hapa na pale nimefanikiwa kuishika milioni moja rasmi [emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]
Natangaza kuwa milionea mpya. Akili yang kama haijakaa sawa bado. Nimeishika milioni leo
Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kupunguza hili wenge jf there are even experienced billionaires.
Maana ssahiv najikuta natembea kwa mikogo full mbwembwe sana. Nimebadilisha style ya kuongea naongea kwa utulivu sana mixer kimombo. Dah! Kumbe wenye hela hawafanyi makusudi
Nisaidieni wadau nipunguze hili wenge