NatafutaHautafuti girlfriend Mr Millionaire?
Atakuwa amekosea kiswahili kidogo, kwa sasa yeye ni mmiliki wa milioni, akiongeza zikafika 2, hapo sasa anaanza kuwa milionea, hivyo jichange upate hata 3 za kung'arisha mfuko😄Kumbe ukiwa na milioni moja mkononi tayari ni milionea, basi wacha niendelee kuzichanga nami nifikie umilionea.
Hongera sana mkuu
Dah tunatofautiana milioni moja natembea nayo kwenye Sox mwingine kwake ni achievementOya sio poa wadau......
Hatimae bwana mkubwa Fene baharia wa nchi kavu ktk harakat zangu za hapa na pale nimefanikiwa kuishika milioni moja rasmi[emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]
Natangaza kuwa milionea mpya
Akili yang kama haijakaa sawa bado..
Nimeishika milioni leo!!!
Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kupunguza hili wenge jf there are even experienced billionaires.
Maana ssahiv najikuta natembea kwa mikogo full mbwembwe sana,
Nimebadilisha style ya kuongea naongea kwa utulivu sana mixer kimombo
Dah! Kumbe wenye hela hawafanyi makusudi
Nisaidieni wadau nipunguze hili wengeView attachment 1910754
mkuu nakushauri iwekee fremu ukutani ukipunguza hata mia ww siyo millionea tenaOya sio poa wadau......
Hatimae bwana mkubwa Fene baharia wa nchi kavu ktk harakat zangu za hapa na pale nimefanikiwa kuishika milioni moja rasmi[emoji1787][emoji120][emoji120][emoji120]
Natangaza kuwa milionea mpya
Akili yang kama haijakaa sawa bado..
Nimeishika milioni leo!!!
Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kupunguza hili wenge jf there are even experienced billionaires.
Maana ssahiv najikuta natembea kwa mikogo full mbwembwe sana,
Nimebadilisha style ya kuongea naongea kwa utulivu sana mixer kimombo
Dah! Kumbe wenye hela hawafanyi makusudi
Nisaidieni wadau nipunguze hili wengeView attachment 1910754
una miaka mingap mkuu?Oya sio poa wadau......

Uwii kumbe nina safari ndefu bado, mkuu umenivunja moyo😂😂Atakuwa amekosea kiswahili kidogo, kwa sasa yeye ni mmiliki wa milioni, akiongeza zikafika 2, hapo sasa anaanza kuwa milionea, hivyo jichange upate hata 3 za kung'arisha mfuko😄
Ndio atajua nini maana ya kuwa milionia.Atatoka na deni. Mkanda wa kiunoni tu 263,000/= Pesa za kiTanzania.