Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Mkuu tuko pamoja mm pia mlengwaaa haswaaaaaaa ....nina mwaka wa tano huu sijapigwa BAN .....ebu tujipongeze
 
Unaonekana upo 40+ Ndomana una-behave we na Kasie hamna tofauti sa BAN mnapata wapi?
 
wow!!! hongera umevunja ungo rasmi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]hongera sana miye ban ya kwanza na mdada anaitwa Kimberly sijui yuko wapi siku hizi kisa Ali Kiba na Daimond mwaka 2016 ya wiki,ya pili nilijichanganya siasani nkawekwa dentetion siku moja,ya tatu ndo zile za mkumbooo uleee wewe ukanusurika siku hizi jf sijui kwa nini sio sana kuingia maana wala siko busy!kivile
 
Hizi ID pia zina-reflect umri wa watu walio wengi wenye ID kongwe zenye zaidi ya miaka mitano asilimia kubwa ni watu wazima umri wao umevuka miaka 25, kwa hiyo sio rahisi kupata ban maana mtu anabehave kiheshima zaidi. Huwa nahamaki sana mtu mwenye ID kongwe aki-misbehave.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…