Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 684
Mkuu tuko pamoja mm pia mlengwaaa haswaaaaaaa ....nina mwaka wa tano huu sijapigwa BAN .....ebu tujipongeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana upo 40+ Ndomana una-behave we na Kasie hamna tofauti sa BAN mnapata wapi?Tarehe 24.9.2014 nilijiunga rasmi Jamii Forum baada ya kuwa naingia nakucheck kama mwaka hivi.
Kilichonifanya nijoin ni kujibu comments za watu tu.
KuNa muda naona comment imenifurahisha ila nashindwa kuijibu mpaka siku nilipokata shauri la kujiunga uanachama.
Kwa kweli kumaliza miaka mitano bila BAN wala kufungua ID ya pili sio jambo dogo.
Wengi huku wana maID manne matano ila mie hii moja tu na imedumu.
Kuna siku nilinusurika Ban naona ni Mungu alikua nami maana wenzangu karibu wote walipigwa ban ila mimi naona mods walinisahau.
Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu.
Aseee nashindwaga epuka BAN sijui mimi nyota yangu ni ipi
Nimejiunga JF nkiwa na max ila rafiki angu huyu hata hapigwi BAN
Ki ukweli nanuka BAN juu mpk Chini
wow!!! hongera umevunja ungo rasmi.Tarehe 24.9.2014 nilijiunga rasmi Jamii Forum baada ya kuwa naingia nakucheck kama mwaka hivi.
Kilichonifanya nijoin ni kujibu comments za watu tu.
KuNa muda naona comment imenifurahisha ila nashindwa kuijibu mpaka siku nilipokata shauri la kujiunga uanachama.
Kwa kweli kumaliza miaka mitano bila BAN wala kufungua ID ya pili sio jambo dogo.
Wengi huku wana maID manne matano ila mie hii moja tu na imedumu.
Kuna siku nilinusurika Ban naona ni Mungu alikua nami maana wenzangu karibu wote walipigwa ban ila mimi naona mods walinisahau.
Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu.
wataufuta halafu watupe BAN tena tuanze maisha mapyaFungua uzi wetu tujifariji na sie
wataufuta halafu watupe BAN tena tuanze maisha mapya
Mods wa saivi ni mwendokasi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Nivumilie upumbavu wa mtu kweli!
Hapana acha ban iwe sehemu ya maisha yangu.
Hongera sana Mzigua90