Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
@ Viatu vya Samaki
Mwanaume lazima uwe msumbufu siyo unakubali kuonewa.Ban mwanetu tu tutamtupaje sasa kwa mfano
Tuunde kachama ketu
Hahaha, nishazisahau password. Siku hizi nimebaki na hii na ile nyingine.
Halafu hata siwezi kutongoza PM, nakutafuta tunaonana, nikiahakufanyia assessment nakutongoza macho kwa macho, huyo siyo mimi.
Kwahiyo baada ya assessment kama sijakuridhisha unanipotezea[emoji23][emoji23]
ahhahaha wa huku hatuna viwango sio?Dogo acha hizo, natania tu.
JF haijawahi kuwa eneo langu la mawindo.
Imebidi nijichungulie 29.January 2014 bila burn[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Tarehe 24.9.2014 nilijiunga rasmi Jamii Forum baada ya kuwa naingia nakucheck kama mwaka hivi.
Kilichonifanya nijoin ni kujibu comments za watu tu.
KuNa muda naona comment imenifurahisha ila nashindwa kuijibu mpaka siku nilipokata shauri la kujiunga uanachama.
Kwa kweli kumaliza miaka mitano bila BAN wala kufungua ID ya pili sio jambo dogo.
Wengi huku wana maID manne matano ila mie hii moja tu na imedumu.
Kuna siku nilinusurika Ban naona ni Mungu alikua nami maana wenzangu karibu wote walipigwa ban ila mimi naona mods walinisahau.
Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu.
ahhahaha wa huku hatuna viwango sio?
Makufuli kama yoteahhahaha wa huku hatuna viwango sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ban ni kipomo cha ukomavu wa kutumia jukwaa eeeh?
Kweli chiefHuyo anasoma hadi PM zetu asikuzuge.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku viwango ni zaidi ya standards zangu, imagine unapanga kuonana na mtu anakuja na gari, anachagua muonane mahali ambapo msosi bila 40 hushibi.
Hapo unajitoa kuepuka aibu.
Kumbe ndio sababuuMakufuli kama yote
Najifunza lugha ya mheshimiwa wa siku ilee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siamini
Nilikua naingia kwa blog ya Sinta.. kuna sehemu kunakua na list blogs nyingine, katika kufungua na kufungua nikakutana na JF. Nikawa naingia tu nasoma. Kwahiyo nikiangaza kublog naanza na Sinta, U-turn, JF na zingine
Mficha uchi hazai... Umeweka kufuli halafu unalalamika hutongozwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ndio sababuu