Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Hatimaye nimemaliza salama miaka mitano JF bila Ban

Hahaha, nishazisahau password. Siku hizi nimebaki na hii na ile nyingine.

Halafu hata siwezi kutongoza PM, nakutafuta tunaonana, nikiahakufanyia assessment nakutongoza macho kwa macho, huyo siyo mimi.

Kwahiyo baada ya assessment kama sijakuridhisha unanipotezea[emoji23][emoji23]
 
Tarehe 24.9.2014 nilijiunga rasmi Jamii Forum baada ya kuwa naingia nakucheck kama mwaka hivi.

Kilichonifanya nijoin ni kujibu comments za watu tu.
KuNa muda naona comment imenifurahisha ila nashindwa kuijibu mpaka siku nilipokata shauri la kujiunga uanachama.

Kwa kweli kumaliza miaka mitano bila BAN wala kufungua ID ya pili sio jambo dogo.
Wengi huku wana maID manne matano ila mie hii moja tu na imedumu.

Kuna siku nilinusurika Ban naona ni Mungu alikua nami maana wenzangu karibu wote walipigwa ban ila mimi naona mods walinisahau.

Nilichojifunza kuepuka ban ni kuvumilia upumbavu wa kila mtu anaekukwaza na ukishindwa mjibu kistaarabu.
Imebidi nijichungulie 29.January 2014 bila burn[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mwenza leo unachapia "nimemalisa,kipomo"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hongera kwa 'kumalisa miaka mitano bila ban' mie nishapigwa mara mbili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ban ni kipomo cha ukomavu wa kutumia jukwaa eeeh?
 
Najifunza lugha ya mheshimiwa wa siku ilee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinikumbusheee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe nami miaka tano sasa jf [emoji23][emoji23][emoji23] ila ban zamani nilichezea mnoo kuna moja nilipewa ya miezi mingi weee nikafanya manuva ikafunguliwa kwa hii hii ya dina
 
Nilikua naingia kwa blog ya Sinta.. kuna sehemu kunakua na list blogs nyingine, katika kufungua na kufungua nikakutana na JF. Nikawa naingia tu nasoma. Kwahiyo nikiangaza kublog naanza na Sinta, U-turn, JF na zingine

Enzi za uturn na sinta sitasahau walitufanya tukawa busy huku jf,insta,sintah,u turn heheheh
 
Back
Top Bottom